Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Hahaha mze una mihemko ww muda wote unawaza hvyo tu .Mo amefinyiwa kwa ndani amemuambia binti atulie asiende mahali atawatuliza makolo anawamudu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mze una mihemko ww muda wote unawaza hvyo tu .Mo amefinyiwa kwa ndani amemuambia binti atulie asiende mahali atawatuliza makolo anawamudu.
hadi wewe umeona hili?basi tatizo lipoSimba kumeanza kuwa na utoto na uswahili
mimi huwa nasimamia ukweli. haiwezekani mchezaji mmoja asiye na akili timamu anayumbisha watu. hao wanaomtaka ni maslahi binafsi tu,mtu timamu hawezi kupendekeza usajili wa Morison hata akizaliwa leo.hadi wewe umeona hili?basi tatizo lipo
hbhahahaha,huwa nikisoma maoni ya mashabiki simba na yanga khs timu zao,huwa sijui wanasimamiaga wapimimi huwa nasimamia ukweli. haiwezekani mchezaji mmoja asiye na akili timamu anayumbisha watu. hao wanaomtaka ni maslahi binafsi tu,mtu timamu hawezi kupendekeza usajili wa Morison hata akizaliwa leo.
Mashabiki wa Simba na Yanga walio timamu wanajua hili. Ila kwa saabu Bongo mazuzu ndio wanapewa attention ndio maana inakuwa hivyo. Nchi timamu kama South hatakiwa hata kuonekana. Tofauti na bongo media inajivunia kufanya mahojiano na mwehu
Barbara hajafukizwa ila mwenyewe kaomba kuacha kazi kwa sbb binafsi, watu wa karibu wanasema anadai amechoka kusingiziwa na kudhalilishwa, most recent ni interview ya morisonBongo watu wanapenda taarifa mbaya sana.
Siamini huyo dada kufukuzwa kizembe hivyo
Anasubiri nin kutangaza kuwa kajing'atua? Au mpaka apigwe mawe?Barbara hajafukizwa ila mwenyewe kaomba kuacha kazi kwa sbb binafsi, watu wa karibu wanasema anadai amechoka kusingiziwa na kudhalilishwa, most recent ni interview ya morison
Mmh kwani ameachia mkuu?Barbara hajafukizwa ila mwenyewe kaomba kuacha kazi kwa sbb binafsi, watu wa karibu wanasema anadai amechoka kusingiziwa na kudhalilishwa, most recent ni interview ya morison
Eti mchezaji analalamika hajaambiwa happy birthdayHao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakaje
Tuna mchezaji wa ajabu sana kwa wakati huu.Eti mchezaji analalamika hajaambiwa happy birthday
Endelea kuhisi kuwa ni rahisi kihivyo, Simba SC anakuja kwa namna ya hatari mno msimu ujao..Haya ambayo unayodhani ni tatizo wala si tatizo na ni kawaida sana kwenye Taasisi kubwa kama Simba SC.