Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mafaza sio wa kuwachekea .. pale yanga saidoo anakula bench I, makambo, mauya na hata mukoko..... Hata lamine alipoleta ufaza alikula bench sijui Simba inakwama wapAll the best, ule utoto wa jana haufai kufumbiwa macho, wale mafaza uchwara wacha wakumbushwe wajibu wao kwa timu, namkumbuka sana Aussems na ule mpira tuliokuwa tunaucheza wakati wake.
Majungu tu ndivyo vilimuondoa yule kocha na umungu mtu.
ni makusudi especially goal la pili unaona kabisa maduka kama ma 4 kule nyuma yana cooperate kwa kiwango cha kutisha sanaGoli tatu tunashindwa zilinda ndani ya dk 45 tena nyumbani??
Aiseee wawajibishwe tu...jana nilikua nina hasira sana...nashukuru Mungu aliniongoza sikudhuru mtu yoyote...
Wakifanya hivyo ndiyo wanapotea mazimaTetesi za muda mfupi uliopita
Klabu ya Simba imefumua benchi lake lote la Ufundi sambamba na kuwasimamisha baadhi ya wachezaji
Inasemekana hatua hizo zimechukuliwa kutokana na madai ya hujuma dhidi ya mabingwa hao wa Ligi ya NBC
Kikao cha Bodi linaendelea muda huu na taarifa rasmi itatolewa
acha tupotee tu liwalo na liweWakifanya hivyo ndiyo wanapotea mazima
Huna uwezo wa kumdhuru hata bataGoli tatu tunashindwa zilinda ndani ya dk 45 tena nyumbani??
Aiseee wawajibishwe tu...jana nilikua nina hasira sana...nashukuru Mungu aliniongoza sikudhuru mtu yoyote...
kipi hicho ?Kwa kilichofanyika jana wana haki ya kufanya hivyo. Kitendo kilichofanyika jana hakiwezi kuvumiliwa.