Klabu ya Simba Yafumua Benchi la Ufundi na kufungia baadhi ya Wachezaji

Klabu ya Simba Yafumua Benchi la Ufundi na kufungia baadhi ya Wachezaji

All the best, ule utoto wa jana haufai kufumbiwa macho, wale mafaza uchwara wacha wakumbushwe wajibu wao kwa timu, namkumbuka sana Aussems na ule mpira tuliokuwa tunaucheza wakati wake.

Majungu tu ndivyo vilimuondoa yule kocha na umungu mtu.
 
Goal la pili ni mjinga tu ataniambia kwamba wawa na manula hawakufanya makusudi. picha linaanza dakika za mwanzo tu manula akampasia mtswana makusudi, wametukosea sana hawa vijana.

manula?? why? kwa wawa yule ni pensioner anakusanya za mwishomwisho an atauza sana
 
All the best, ule utoto wa jana haufai kufumbiwa macho, wale mafaza uchwara wacha wakumbushwe wajibu wao kwa timu, namkumbuka sana Aussems na ule mpira tuliokuwa tunaucheza wakati wake.

Majungu tu ndivyo vilimuondoa yule kocha na umungu mtu.
Mafaza sio wa kuwachekea .. pale yanga saidoo anakula bench I, makambo, mauya na hata mukoko..... Hata lamine alipoleta ufaza alikula bench sijui Simba inakwama wap
 
Goli tatu tunashindwa zilinda ndani ya dk 45 tena nyumbani??
Aiseee wawajibishwe tu...jana nilikua nina hasira sana...nashukuru Mungu aliniongoza sikudhuru mtu yoyote...
ni makusudi especially goal la pili unaona kabisa maduka kama ma 4 kule nyuma yana cooperate kwa kiwango cha kutisha sana
 
Tetesi za muda mfupi uliopita

Klabu ya Simba imefumua benchi lake lote la Ufundi sambamba na kuwasimamisha baadhi ya wachezaji

Inasemekana hatua hizo zimechukuliwa kutokana na madai ya hujuma dhidi ya mabingwa hao wa Ligi ya NBC

Kikao cha Bodi linaendelea muda huu na taarifa rasmi itatolewa
Wakifanya hivyo ndiyo wanapotea mazima
 
Jana waliojituma ni Dilunga ,Morison ,Inoga, Bwalya wengine wapuuzi tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sema lile bao la pili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Goli tatu tunashindwa zilinda ndani ya dk 45 tena nyumbani??
Aiseee wawajibishwe tu...jana nilikua nina hasira sana...nashukuru Mungu aliniongoza sikudhuru mtu yoyote...
Huna uwezo wa kumdhuru hata bata
 
🙌🙌🙌🙌

IMG-20211025-WA0099.jpg
 
Back
Top Bottom