Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

wanakimbia
Mkuu mbona picha inajieleza huyo shabiki kiti alichokishika rangi yake sio mojawapo ya viti ambaye vinavyopatikana kwenye hilo jukwaa inaonekana mashabiki wa timu pinzani ndio waliokirusha huyo shabiki wa simba inaonekana akikirusha kilipotoka kwa mtindo wa jazba
 
Simba wasiishie hapo, hakijawahi kuwatuma washabiki wao kufanya fujo.
Pia Simba inalipa gharama kubwa kwa ajili ya usalama lakini Kama vyombo vya usalama vilishindwa kuwakamata wahusika club iingie mikataba na kampuni binafsi ili tukio Kama Hilo likitokea wahusika wawajibike na sio serikali inakimbilia kutoza faini wakati vyombo vyake vinajua kukamata wapinzani tu.
 
View attachment 3178075
Shabiki mwarabu aking'oa kiti hapo jana,huku mashabiki wa Simba wakiwa wanakimbia
Mbona sioni mtu aking'oa kiti badala yake naona shabiki wa Simba akiwa ameshika kiti kilichong'olewa? Je kama kilingo'olewa na waarabu . Weka picha inayoonesha shabiki wa Simba akiwa anango'a kiti
 
Tangu Mwenyekiti wao wa Zamani Hassan Dalali aliposema alishangazwa na mashabiki wa Simba kutaka yeye Dalali ajiuzulu u wenyekiti wa Simba kwa kumshinikiza kwa njia ya kwenda kunya mavi Kila sehemu ya Nyumba yake.

Aliongeza kwa kusema alishangazwa na aina ya kinyesi chenyewe ni kikubwa Sana na kama jamaa walikua wamekula mapera.
Inaonekana Mashabiki wa Simba wakiwa na Hasira wanaweza wakakushangaza kwa namna ya ajabu kabisa.
 
Hamjifunzi, mara ya pili hii mbumbumbu mnang'oa viti
1734367374959.png
 
Jiheshimu, si kwamba sijui matusi, utoto peleka kwa wazazi wako. Usinifanye ujue upande wang wa pili. Unajiona kidume sana kutukana watu tena msiojuana eti eeeee! Ni wapi ktk mchango wangu hapo juu nimetukana hadi unitukane. Kuwa na adabu basi hata km kichwa chako hakina uwezo wa kufikiri. Umenikwaza sn, maana nimetoa maoni yangu kistaarabu then unakuja kunitusi. Don't repeat this. Don't repeat this. Don't repeat this!
Usinitishe bana,watishe wajinga wenzio huko
 
Back
Top Bottom