Kama ni kupiga hizo krosi ata Beckham alizipiga sana Man Utd lakini mwisho wa siku aliuzwa mpira ni zaidi ya krosi.Zile crosses alizopiga na kuzaa magoli tangu ajiunge Simba unajua ziko ngapi? Akifanya vyema, ni mchezaji mzuri, akikosea ni kirusi. Mpira ni mchezo wa makosa Mkuu, vumilieni.
Bao tulilofungwa na Mwadui FC ni dhahiri yalikuwa ni makosa binafsi ya Kamusoko lakini sisi hatujapiga kelele, mbona wenzetu hivyo au ndio Jerry Muro kawavuruga?
Mwaka huu Watani hakuna rangi wataacha kuiona!Mkude nae ametangaza kama simba haitachukuwa ubingwa mwaka huu ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu.
Kessy ni mchezaji mvumilivu sana!
Juzi baada ya mechi ya toto yule kipa bubu' alitandika ngumi za kutosha!
Muda wote wa mkataba simba ilikataa kutimiza vipengele kadhaa tena kwa maksudi kabisa ili kumkwaza tuu
Tangu kufungwa mechi ya yanga, mazoezin amekuwa akinyanyasika toka wachezaji, viongozi na wapenzi wa timu
Kwanini msifukuze ol playersSimba yamfungia Hassan Kessy kutocheza mechi 5 kwa kumchezea rafu Christopher Edward wa Toto na kutolewa kwa kadi nyekundu, Haji Manara athibitisha.
===================
Klabu ya soka ya Simba imemsimamisha mchezaji wao Hassan Kessy Ramadhan mechi tano kwa kosa la kumchezea madhambi mshambuliaji wa Toto Africans Edward Christopher. Katika Mchezo uliochezwa April 17 mwaka huu Uwanja wa Taifa Kessy alimchezea Christopher faulo, hivyo kupewa kadi nyekundu, na uongozi Simba umeamua kumfungia mechi hizo ili kupinga Vitendo vya Utovu wa nidhamu.
Kufungiwa mechi tano kwa Kessy maana yake ni kuwa amefungiwa hadi Mwisho wa msimu kwani Simba imebakisha mechi tano katika msimu huu. Hii inamaanisha kuwa Hassan Kessy Ramadhan si mchezaji tena wa Simba maana mechi tano alizosimamishwa ni sawa na mwezi mmoja ambao ni muda wa mkataba wake uliosalia.
Chanzo: Radio Free Africa
Kama ni kupiga hizo krosi ata Beckham alizipiga sana Man Utd lakini mwisho wa siku aliuzwa mpira ni zaidi ya krosi.
Mkuu mchezaji hata anapokuwa anafundishwa kunakuwa na somo la psychology kama hulijui hilo basi ndio ujue sasaSo bila maneno ya Muro ina maana Simba ingeshinda? Acheni kuwatupia lawama viongozi, mpira unachezwa na wachezaji
Hongera sana mzee na huo ndio utani wa jadi wakati nyie kwenu ni kicheko sisi wenzenu ni masononeko,pia hongereni sana kwa kuwa na mtu kama jery muro kiufupi katumia nafasi yake vizuri sanaJerry Muro ni asset kubwa sana kwa Yanga, mdomo wake umefanikisha kuisamabaratisha Simba! Inanikumbusha kisa cha wana wa Israel kuuzunguka ukuta wa Yeriko kwa muda wa siku sita na siku ya saba ukuta ulianguka bila kuguswa na mtu yeyote.
Safi sana Jerry Muro, hakika umetusaidia sana kuimaliza Simba SC kwa maneno tu bila ya kuwapiga ngumi hata ya mgongoni!
Mimi ni mwana msimbazi lkn huyu manara naona hii nafasi haiwezi,kwanza ni mtu mwepesi sana kum provokeMuda si mrefu Manara atatuwekea historia ya Simba,kama uwanjani inacheza historia vile.
Mkuu maneno ya muro ni ya kiweledi sana hasa yakikuta mtu ambaye uwezo wa kuyafanyia kazi ni mdogo kama manara,huwezi kuwa msemaji wa timu kubwa kama simba ukatawaliwa na hasira za hovyooooooooHaa haaaaaa. Hata mimi Nimemsifu sana murro kwa hili. Sasa Msimbazi kunawaka moto, wakati hakina mtu yeyote aliyeenda na kiberiti
Mkuu naona unanitonesha vidonda,ila sasa sioni sababu ya kumpa lawama kesi kwani mbona washambuliaji hawakufunga goli likakataliwa?Simba ni Zaidi ya yeyote na Simba itaendelea kuwepo kama ambavyo ipo watu makini washaona mambo kwa jicho la tatu hawa madogo sijui kina Kessy wanarubuniwa ukweli huyu dogo anaigharimu sana Simba,ilifaa afukuzwe mapema sana sababu ni Kirusi ndani ya Klabu.
Inawezekana akaachwa huru si unajua yeye ni chaguo la bwana usajili?hansHuyo kipa bondia kaachwa bila hatua yoyote?
Mkuu Simba inatakiwa kusukwa upya kila Idara watoto wengi ninao waona hawako Makini, si katika safu ya Ushambuliaji tu ata viungo na zaidi Mabeki lazima watambue kila mechi ni muhimu lakini ukiangalia utoto ndio mwingi lazima viongozi nao wachukue hatua stahiki wakati wa kusajiri.Mkuu naona unanitonesha vidonda,ila sasa sioni sababu ya kumpa lawama kesi kwani mbona washambuliaji hawakufunga goli likakataliwa?
Sawa ndugu yangu lkn ujue huu sasa ndio tunafunga mwaka wa tano hatujui ubingwa na bado tunaendelea kutoa excuse kwa viongozi wetu huoni kuwa sasa ni muda muafaka tukawageukia kina dalali?Mkuu Simba inatakiwa kusukwa upya kila Idara watoto wengi ninao waona hawako Makini, si katika safu ya Ushambuliaji tu ata viungo na zaidi Mabeki lazima watambue kila mechi ni muhimu lakini ukiangalia utoto ndio mwingi lazima viongozi nao wachukue hatua stahiki wakati wa kusajiri.
Kwa hilo mmelamba dume,jery ni kiboko ya manara hiyo haina ubishinjoo Jangwani Kessy uokoe kipaji chako....
halafu vipi na isihaka si na yeye ana utovu wa nidhamu...vp wadau wa nyau sc hamumtemi nae? maana hii ndo fursa nzuri ya kujipatia wachezaji wenye vipaji bila kutumia hata nguvu nyingi wala gharama kubwa, maneno ya jerry tu yanatosha