Klabu ya Simba yamfungia Kessy

Acha afungiwe mana nidhamu yake ya chini, uchezaji wake umekuwa wa kutusimanga sana. Hata kama una mke mzuri vipi huwezi mkubalia kukuendesha anavyotaka mara leo hili kesho lile!
 
Simba timu ninayoipenda imegeuka kichekesho, aliyempiga MTU na ambae kwa maoni yangu ni kipa mbovu zaidi kuidakia simba hajachukuliwa hatua yoyote.
 
Kwani si ilsemwa ile haikuwa faulo hata chembe ila refa tu alitumwa? Ina maana si kweli kwamba refa ndiye ameifungisha Simba?
 
Zamani kidogo kulikuwa na kupokezana angalau miaka miwili watu wanachukua , sasa ni miaka mitano simba ipo na hata waachama kuwaTisha viongozi hakuna. Basi wote mmelizika na matokeo Mabovu
 
Mbona ukiangalia kwenye EPG ya Azam two hakuna kitu kama icho?
labda tusubiri tu mkuu, maana hii ndo ile ya paukwa pakawa....ilikuwa isiwe mara ikawa!!! tuwe wapole tu japo sijui ni kwanini ila napata hisia za hii game kutokuonyeshwa kama ilivyotangazwa hapo awali....
 
mnamlaumu kessy kwani goli lilifungwa Kabla au Baada ya rafu?
kwani strikes walifunga goli likakataliwa?
kwa nini ni simba tu ndio ina magomvi na wachezaji wake kuhusu nidhamu...kumbuka y upo Banda, isihaka,kessy,kiiza na juuko...wote mshagombana nao

hakuna haja ya excuse...tatizo la simba ni uongozi
 
Huyu jamaa anafaa hata kutimuliwa,kila mechi anacheza rafu na ndo aliyetufungisha mechi ya tuliyocheza na yanga
 
Kessy binafsi simulaumu ila kama ni goli kufungwa na refa kulikataa tulifunga halafu refa alikuwaa. mipango ya Simba mfano kunamoja Ajibu alikuwa anakwenda kufunga na Alisha watoka mabeki refa akafanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…