Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Uongozi wa Klabu ya Simba umempa mkono wa kwaheri mlinzi wake wa kati Pascal Wawa raia wa Ivory Coast ambaye anamaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu.
"Asante sana Wawa
Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu msimu ujao
Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na mchezo wa Alhamisi dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mchezo wake wa mwisho". Simba SC.