Klabu ya Simba yampa rasmi mkono wa kwaheri mlinzi Pascal Wawa

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
1655803602893.png

Uongozi wa Klabu ya Simba umempa mkono wa kwaheri mlinzi wake wa kati Pascal Wawa raia wa Ivory Coast ambaye anamaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu.

"Asante sana Wawa

Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu msimu ujao

Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na mchezo wa Alhamisi dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mchezo wake wa mwisho". Simba SC.
 
Kila la heri Wawa mimi mpenda soka nitamiss yale mapasi yako ya masafa marefu ambayo yalikuwa yanafika kwa usahihi kitu ambacho kinawashinda hata viungo wengi ambao ndio mojawapo ya jukumu lao ya kila siku uwanjani. Sidhani kama kuna shabiki yoyote wa Simba atakuwa anamdai huyu mwamba chochote.
 
Namtakia mema huko aendako. Kuna vitu vya kipekee tutavimiss toka kwake hususan uwezo wake wa kupiga pasi za mbali na zinazofika kwa mlengwa.

Kwakuwa Azam hawana malengo ya kufika Fainali ya Caf, Nawashauri wamchukue kijana wao, atawasaidia sana kimataifa msimu ujao.
 
Onyango nae alietewe mpinzani.
Kwa jinsi tetesi za usajili wa Simba zilivyo mitandaoni kama ndio zitakuwa hivyo sidhani kama huyu mwamba atapona. Hasa ukizingatia mkataba wake unaisha msimu huu na yeye alishaanza kuzingua aongezewe mpunga mrefu.

Jamaa anakaba kweli kweli lakini sasa akishapta mpira badala ya kuanzisha mashambulizi anapasia adui yaani kwa kifupi kwenye kupiga pasi mkaa jamaa anaongoza pale kwenye timu ya Simba.

Kuna Mkenya anaitwa Akum katupiwa virago Kaizer na anaweza kucheza beki wa kati na kiungo mkabaji kwa vizuri tu sasa huyu Onyango inabidi awe mpole tu akae na viongozi wayasawazishe mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
 
Ashindwe kunenepa hapa Singida, full alizeti
Kama anakwenda Singida siyo mbaya, wacha akamalizie soka lako huko

Lakini ataingia kwenye wale ambao wamekaa muda mrefu Bongo wakicheza mpira.
 
Kwa jinsi tetesi za usajili wa Simba zilivyo mitandaoni kama ndio zitakuwa hivyo sidhani kama huyu mwamba atapona. Hasa ukizingatia mkataba wake unaisha msimu huu na yeye alishaanza kuzingua aongezewe mpunga mrefu.

Jamaa anakaba kweli kweli lakini sasa akishapta mpira badala ya kuanzisha mashambulizi anapasia adui yaani kwa kifupi kwenye kupiga pasi mkaa jamaa anaongoza pale kwenye timu ya Simba.

Kuna Mkenya anaitwa Akum katupiwa virago Kaizer na anaweza kucheza beki wa kati na kiungo mkabaji kwa vizuri tu sasa huyu Onyango inabidi awe mpole tu akae na viongozi wayasawazishe mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Akumu anawindwa na Azam nadhani watakuwa kwenye hatua nzuri ya kunasa saini yake.
 
Kwa jinsi tetesi za usajili wa Simba zilivyo mitandaoni kama ndio zitakuwa hivyo sidhani kama huyu mwamba atapona. Hasa ukizingatia mkataba wake unaisha msimu huu na yeye alishaanza kuzingua aongezewe mpunga mrefu.

Jamaa anakaba kweli kweli lakini sasa akishapta mpira badala ya kuanzisha mashambulizi anapasia adui yaani kwa kifupi kwenye kupiga pasi mkaa jamaa anaongoza pale kwenye timu ya Simba.

Kuna Mkenya anaitwa Akum katupiwa virago Kaizer na anaweza kucheza beki wa kati na kiungo mkabaji kwa vizuri tu sasa huyu Onyango inabidi awe mpole tu akae na viongozi wayasawazishe mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Berkane wanamtaka!
 
Kwahiyo anakaba kisha akipata mpira anapasia adui dah!

Umri nao unachangia tumsamehe tu
 
Back
Top Bottom