Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Naona mmefukuka..tangu lipuli wawape kitombo kule iringa huku sisi tukiwapa kifiro mabasha wenu as vita mulipotea kabisa...sahivi mmefufuka baada ya kusikia kuna basha lenu jipya tunakuja kulipa kifiro
Huyu Mwanaume mliempata leo hatawachezea tena bali anakuja kukuvalisha bikini na dela hapo hapo Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia hivi Mwanaume huyu mliempata wakati huu hawachezei tena na kuwaacha bali amekuja serious kuwaoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule As vita alikuja kuwachumbia mashangazi na wajjomba wakakaataa maana binti ýao alitoroka na kwenda kinshaasa akalambishwa magoli mengi ya vumbi la congo a.k.a chakupaka. Sasa wamemchagua mazembe ndo wamuoe binti yaò
 
Huyu Mwanaume mliempata leo hatawachezea tena bali anakuja kukuvalisha bikini na dela hapo hapo Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20190320_235717_393.JPG
 
Yule As vita alikuja kuwachumbia mashangazi na wajjomba wakakaataa maana binti ýao alitoroka na kwenda kinshaasa akalambishwa magoli mengi ya vumbi la congo a.k.a chakupaka. Sasa wamemchagua mazembe ndo wamuoe binti yaò
IMG_20190320_235717_393.JPG
 
Wameipendelea TP Mazembe kwa kuifanya imalizie kwao....Simba inaweza ikashinda hapa nyumbani 2-1 lakini huko DRC sijui mwenzenu...nisije nikaambiwa sina uzalendo
Mkuu hawajaipendelea n kanuni ndo inasema hivyo,cheki na akina Sundown wanakoanzia mechi zao

Sent from Nokia 7 Plus
 
Back
Top Bottom