Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Inatoka Congo DRCYanga yeye kapangwa na Alliance,anayejua inatoka nchi gani anijuze
Huyu Mwanaume mliempata leo hatawachezea tena bali anakuja kukuvalisha bikini na dela hapo hapo Taifa.Naona mmefukuka..tangu lipuli wawape kitombo kule iringa huku sisi tukiwapa kifiro mabasha wenu as vita mulipotea kabisa...sahivi mmefufuka baada ya kusikia kuna basha lenu jipya tunakuja kulipa kifiro
Trevor Mputu MabiiiiiiiKwenye mpira chochote kinaweza kutokea,,
But Simba itabidi iboreshe sana safu ya ulinzi,,,
Safu ya ulinzi inapitisha magoli mengi sana ugenini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwahonge marefa?teh teh teh naona mshaona bwana huyu wasasa hataki mchezo amekuja kuwaoa kabisa mpaka mnaiomba TFF iingilie kati kisa bwana huyu ana Mkono wa mtoto.Tena tunaitaka TFF iweke mkono wake nje ya uwanja,sio kusubiri 5% tu na kupost matokeo
Siyo tunakaa,tunalalaNyumbani. Tukishinda hapa,kule tunakaa wote golini
Huyu lazima akuoe tena hapa hapa kwakoYANGA hongereni kwa kupata Bonge la bwana lingine kutoka Congo
Kuna waydad Casablanca na raja Casablanca
Yule As vita alikuja kuwachumbia mashangazi na wajjomba wakakaataa maana binti ýao alitoroka na kwenda kinshaasa akalambishwa magoli mengi ya vumbi la congo a.k.a chakupaka. Sasa wamemchagua mazembe ndo wamuoe binti yaòNakwambia hivi Mwanaume huyu mliempata wakati huu hawachezei tena na kuwaacha bali amekuja serious kuwaoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu ni usiku nao hembu tuurumie mbavu zetu wengine
Huyu Mwanaume mliempata leo hatawachezea tena bali anakuja kukuvalisha bikini na dela hapo hapo Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule As vita alikuja kuwachumbia mashangazi na wajjomba wakakaataa maana binti ýao alitoroka na kwenda kinshaasa akalambishwa magoli mengi ya vumbi la congo a.k.a chakupaka. Sasa wamemchagua mazembe ndo wamuoe binti yaò
Mkuu hawajaipendelea n kanuni ndo inasema hivyo,cheki na akina Sundown wanakoanzia mechi zaoWameipendelea TP Mazembe kwa kuifanya imalizie kwao....Simba inaweza ikashinda hapa nyumbani 2-1 lakini huko DRC sijui mwenzenu...nisije nikaambiwa sina uzalendo
Dunia ya ajabu sana yaan mbumbumbu unajiita Sanchez
Mimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kupata mme mpya
Mechi tatu una bahatisba, huyo as vita mwenyewe hajawahi shinda mechi nje ya nyumbani.Huu ndo mwisho wa kubahatisha bahatisha mechi
HahahahahaMechi ya Kwanza
Simba 2 mazembe 1
Mechi ya 2 kule Congo
Mazembe 4 Simba 0
Sent using Jamii Forums mobile app