Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Vipi mazēmbe nae? Tupe record zakeMechi tatu una bahatisba, huyo as vita mwenyewe hajawahi shinda mechi nje ya nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa +255Kila kitu kina mwanzo na mwishwo, naamini kocha na wachezaji wabalijua hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikombe hiki hamuwezi kukiepuka hata Kwa kafara ya wakina MO na Msema Hovyo wenu.Hongera kwa kupata mme mpya
Akikupa nipewe bani mpaka siku wanaolewa na Mazembe hapo TaifaVipi mazēmbe nae? Tupe record zake
Ila hii draw imetutupia zigo bana,ingetuba Casablamca
Dera kama lile tulilowavalisha nyie or lile mliovalishwa na lipuli????😂😂😂😂...siku zote unasema hivyohivyo but huwa unaambulia kifiro so maneno kama haya tushayazoeaHuyu Mwanaume mliempata leo hatawachezea tena bali anakuja kukuvalisha bikini na dela hapo hapo Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mmefufuka...baada ya kipigo cha lipuli na sisi baada ya kupiga ile mibasha yenu ya congo mlipotea..sahivi naona mmefufuka tena...nyie watu sijui mnaishije😂😂😂😂..mmekuwa malaya wa kuzishabikia timu za wenzenu..mara leo congo kesho waarabu huku timu lenu linakojolewa na kina lipuli😂Mmeshaanza kutapatapa tayari
Kila la heri Tout Puissant Mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Wewe unajiita cutelove ila mtu akikjtana na wewe anaweza akalia. Wanawake wa jamii forum kwa kujiita majina mazuri na kuweka picha nzuri hamjambo ila mtu akikuona live anaweza kulia, shapeless!Mpaka sasa Mazembe kaishapigwa 4 bila CCM Kirumba na Lubumbashi droo, Nusu hiyoooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugenini uwa hamnaga nafasi ya kufanya ujinga wenu,ndio maana uwa mnakula goli za kutosha,mna kamsemo kenu wenyewe mpira "fitina",ngoja mkafanye fitna kongo sasaMimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamshukuru Mungu njia nyeupe hiyo!!!! Kwa taarifa yenu TP Mazembe hakutaka kabisa kukutana na Simba!!! Kwa wanaojua mpira new comers huwa hatari!!!! Saa hii TP Mazembe wamelowa sana na kukata tamaaa. Haya Simba nyama nyingine hiyooooo, AS Vita watakuwa ni wapambewenu katika harakati za kumtafuna TP Mazembe!!!! Naiona fainali!!!Shadeeya tutapita hapa kweli mtani
hata tukipigwa kwa tulipofikia ni hatua kubwa sana
Kila stage ina approach yake usidhani atakuwa anafungwa tu ugenini, now wachezaji wetu wana confidence Kikubwa ni kuwajenga kisaikolojia yote yawezekanaMimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara 5 mmesema ndo mwisho tangu Mbabane, Nkana, js soura, Al Ahly, As Vita endeleeni finally atacheza yangaHuu ndo mwisho wa kubahatisha bahatisha mechi
Huyo TP Mazembe ndo nyama tamu kwa mnyama Simba!!!! Saa hii Simba mate yanatudondoka, tungetamani mechi ingekuwa weekend hii!!!!! Matokeo Dar: Simba 2 TP Mazembe 0, Kwao: TP Mazembe 0 Simba 0. Naiona fainali maana nusu fainali ni njia nyeupe!!. Ila Angalizo, Simba wasiende kwa Mganga ila waitishe maombi kwa Mungu aliye hai!!!Hata mimi nilipendelea watupe huyu wydad dah ila ngoja tusubiri.