Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😀😀😀
CC. Manara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀
NIMECHEKA SANA SWAHIBA SABABU SI KWA UKWELI HUU ULIOUMWAGA LEO.Mechi ya Kwanza
Simba 2 mazembe 1
Mechi ya 2 kule Congo
Mazembe 4 Simba 0
Sent using Jamii Forums mobile app
PIA SWAHUBA UMEMISIKA AISEEE. ZA KUADIMIKA?Mechi ya Kwanza
Simba 2 mazembe 1
Mechi ya 2 kule Congo
Mazembe 4 Simba 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii. Umefikia huku Mtani. LolNyumbani. Tukishinda hapa,kule tunakaa wote golini
AMA KWELI CAF SI WATU WAZURI YAANI WALE NAMBA MBILI WOTE WANAANZIA KWAO. AISEEEE.
Hapa hakuna cha point ni unapigwa unaenda kulalaToba anaanzia nyumbani,Ila yote kwa yote Point tatu lazima aziache nyumbani hapa
Nakazi Mtani mnaanzia nyumbani ndio.
Noma Sana. Mlikuwa hamyasemi haya hapo nyuma. Imekuwaje kwani Swahiba? 😜Mimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeeee. Safari hii wanalo.Huu ndo mwisho wa kubahatisha bahatisha mechi
Dooh! Hivyo binamu unaona afadhalia kupangwa na Mazembe?Almanusra hatukupangiwa Waarabu !!
Ningeshangaa kukukosa hapa Mtani. Wasemaa? 👂👂👂Hawa jamaa lazima tuwa toe hata kama ni kwa figisu kama zile tulizo waleteaga chini ya mwenyekiti Rage, wakaenguliwa pitia makaratasi, all in all taifa hawezi chomoka salama
Mnaanzaje sasa Mtani. Labda mumfunge 5 kwa Mkapa.
Ushapewa jibu Mtani au bado? 😅
Mnaanzaje sasa Mtani. Labda mumfunge 5 kwa Mkapa.
😀😀😀
Na ukweli tu ingekuwa 16 Bora Simba asingepita kwa Vita ata Aly AyhlyMimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada ujue siku zote najua we ni Simba. 🙈🙈Na Tabia za Simba kufungwa mengi ugenini,hapa ndo mwisho wa Simba. MBAYA zaidi wanaanzia Dar. Bye bye Simba.
Wacha weeee. Saizi yenu ukimaanisha nini Mtani?Hawa ndio size yetu kwa sasa... anaepata mashaka hajui Simba haijabahatisha kuwa hapo ilipo.
Mazembe hawatishi. Cha msingi ni kujituma .. Umakini.. Umoja na nidhamu.
Simba nguvu 1