Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Hawa ndio size yetu kwa sasa... anaepata mashaka hajui Simba haijabahatisha kuwa hapo ilipo.
Mazembe hawatishi. Cha msingi ni kujituma .. Umakini.. Umoja na nidhamu.
Simba nguvu 1
Wacha weeee. Saizi yenu ukimaanisha nini Mtani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…