Walio wazalendo wanatosha Kaka. Mie nilishashindwa jamaani. Sijui hata Uzalendo unakaa wapi.Wameipendelea TP Mazembe kwa kuifanya imalizie kwao....Simba inaweza ikashinda hapa nyumbani 2-1 lakini huko DRC sijui mwenzenu...nisije nikaambiwa sina uzalendo
Shubabiti..! Mutamfunga Al Ahly kwake au mutaenda kukaa langoni wote?
Duuh!REKODI MUHIMU KATIKA ROBO FAINALI.
1.Timu iliyofunga Magoli mengi ni TP MAZEMBE.Imefunga Goli 13 .
*
2.Timu iliyofungwa Magoli* mengi ni SIMBA.Imefungwa Goli *13 .
Huu ni Mpambano kati ya Forward hatari vs Beki dhaifu.
Roho ya mtima nyongo na uzalendo ni vitu viwili tofauti,huwezi kuwa mzalendo na roho yako hiyo ya mtima nyongo.Hivyo nakuunga mkono uendelee kubaki Timu Roho mbaya,unaendana nayoWalio wazalendo wanatosha Kaka. Mie nilishashindwa jamaani. Sijui hata Uzalendo unakaa wapi.
TP Mazembe ya sasa sio kama ya miaka minne iliyopita ya Samata. Hao Club Africaine walijichanganya wenyewe wakapigwa 8 pale Lubumbashi. Ukweli ni kwamba Mazembe haina tena wachezaji wa kuweza kuwafunga waarabu nyumbani na ugenini. Sasa hivi wanawategemea Kamboure na Mputu (34). Huyu Mputu alimkimbia Samata na kwenda Angola, amerejea baada ya Samata kuondoka, lakini sio yule wa kiwango cha mwaka 2011 wakati Mazembe walipokuja Tanzania. Mazembe ya sasa hata ubingwa wa Congo imevuliwa na AS Vita, na kwa taarifa yako mwezi uliopita tu imechezea kichapo 3-0 kwa AS Vita katika ligi kuu ya Congo. Hata katika play offs kombe la mabingwa waliitoa kwa taabu ZESCO ya Lwandamina, kule Lubumbashi Mazembe walishinda 1-0, na Zambia wakatoka sare 1-1. Hii ZESCO kombe la shirikisho ikapangwa kundi moja na Nkana (ambayo ilitolewa na Simba) na imekuwa ya mwisho, wakati Nkana ipo robo fainali.Kuna mtu alikula 8........Ngoja tusuhbilie tuone
Hahahaaa. Wamekuwa wadogo hatari.Sasa mwisho wa kubahatisha ndiyo umefika.
Hahaaa. Mmeshaanza kupanic mapema lol.Roho ya mtima nyongo na uzalendo ni vitu viwili tofauti,huwezi kuwa mzalendo na roho yako hiyo ya mtima nyongo.Hivyo nakuunga mkono uendelee kubaki Timu Roho mbaya,unaendana nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHahaaa. Mmeshaanza kupanic mapema lol.
Ukiwa nayo roho nzuri na Uzalendo wewe Mkuu inatosha. [emoji3][emoji3][emoji3]
Poleee.Kiama kimefika sasa maamae!
[emoji23][emoji23]miss you tooPIA SWAHUBA UMEMISIKA AISEEE. ZA KUADIMIKA?
Adui muombee njaaNakazi Mtani mnaanzia nyumbani ndio.
Hapo kuoshwa lazima. ππππ
Mechi ya Mazembe Ni ngumu Sana ukizingatia Simba anamalizia gemu ugeniniNoma Sana. Mlikuwa hamyasemi haya hapo nyuma. Imekuwaje kwani Swahiba? [emoji12]
Tatizo sio kumfunga kwa mchina shida unamfunga ngapi? Alafu kwake unachezea ngapiNIMECHEKA SANA SWAHIBA SABABU SI KWA UKWELI HUU ULIOUMWAGA LEO.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyumbani. Tukishinda hapa,kule tunakaa wote golini
Pole sana Swahiba. Kwa kuwa zilikupita tugange za Mazembe sasa.[emoji23][emoji23]miss you too
Majukumu aisee yalinitinga vipi kwema lakini maana Hadi habari za Lipuli zilinipita
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeee. Yaani wale vigogo wameshatengenezewa mazingira ya kusonga mbele sababu wote wanamalizia nyumbani.Tatizo sio kumfunga kwa mchina shida unamfunga ngapi? Alafu kwake unachezea ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app