Labda hiyo defensive game japo inakuwaga ngumu sababu wengi wanapenda kuiga wanavyocheza wapinzani yaani wakifunguka na wao wanafunguka.yamepungua sana kabikia simioni na atletico Madrid, now dayz kila mtu anafunguka, tatizo sie tukienda funguka atukawii kula 5 bora tukacheze defensive game tu
Hahaa. Ila Wanasemaga kuimba kupokezana.
Naamini mazuri yanakuja Mtani.Inategemea na pumzi ya aliyeko zamu, usishangae akaendelea tu bila kuachia.
Naamini mazuri yanakuja Mtani.
Sawa Mtani, mimi sina ninachokuombea juu ya hilo.
Si mnaonaga nyie mkikutana na sisi huwa hamna kiele ele cha kufunguka kama mnavyo cheza na alliance huwa mnapaki dakika 90 na damage huwa inakuwa ndogo hatuwafungi goli nyingiLabda hiyo defensive game japo inakuwaga ngumu sababu wengi wanapenda kuiga wanavyocheza wapinzani yaani wakifunguka na wao wanafunguka.
Na ni lazima asijitoe mtu ili utofauti wetu Binadamu ktk kila jambo udhihirike.Hajitoi mtu. [emoji126][emoji126]
Safi Dada akee tumewaona lazima tuchukue point 3 hapo kama kawaidaDada za masiku?
Mmeletewa Wacongo wengine naona. [emoji28][emoji28]
Kabisaa na kama hii round ya pili tulijua kulipaki hasa maana hadi michomo kwa Kabwili ilikuwa michache tofauti na round ya kwanza jinsi mlivyompatisha tabu Kakolanya.Si mnaonaga nyie mkikutana na sisi huwa hamna kiele ele cha kufunguka kama mnavyo cheza na alliance huwa mnapaki dakika 90 na damage huwa inakuwa ndogo hatuwafungi goli nyingi
Hakika Mkuu na hapo ndio tutauona Uzalendo wao. 😀😀😀Na ni lazima asijitoe mtu ili utofauti wetu Binadamu ktk kila jambo udhihirike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ni mtoano ujue Dada ukifunga moja kule anapaswa akashinde mbili za sijui itakuwaje hapo?Safi Dada akee tumewaona lazima tuchukue point 3 hapo kama kawaida
mwambie wanachujua ni kukata mauno ya boringo tuSafi Dada akee tumewaona lazima tuchukue point 3 hapo kama kawaida
Halafu Al Ahly na Esperance hawana chance ya kukutana. Kama ni kukutana watakutana kwenye finali tu.Umeonaeee. Yaani wale vigogo wameshatengenezewa mazingira ya kusonga mbele sababu wote wanamalizia nyumbani.
Al Ahly, Esperance na Waydad Casablanca
Msimu unaokuja tunamrudisha ajibu, na tuna mchukua zetu fei Toto,Kabisaa na kama hii round ya pili tulijua kulipaki hasa maana hadi michomo kwa Kabwili ilikuwa michache tofauti na round ya kwanza jinsi mlivyompatisha tabu Kakolanya.
nusu fainali lazima wwkutane na sisi tutakutana na wydad Casablanca,Halafu Al Ahly na Esperance hawana chance ya kukutana. Kama ni kukutana watakutana kwenye finali tu.
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38][emoji4][emoji39][emoji5]R.I.P makelele fc ...sisi tuliwapenda ila mazembe wamewapenda zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka wewe mama upo njaa fc, watakupausha hao shauri yakoR.I.P makelele fc ...sisi tuliwapenda ila mazembe wamewapenda zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app