Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Labda hiyo defensive game japo inakuwaga ngumu sababu wengi wanapenda kuiga wanavyocheza wapinzani yaani wakifunguka na wao wanafunguka.yamepungua sana kabikia simioni na atletico Madrid, now dayz kila mtu anafunguka, tatizo sie tukienda funguka atukawii kula 5 bora tukacheze defensive game tu