Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Naona mnaanza kurudi nyuma taratibu eeeeee. Haya bana Mkuu
Nani anarudi nyuma...tunarudi nyuma kwenda wapi.??..basi tufanye sisi simba tumerudi nyuma nyi yanga mmeenda mbele...nyi mashabiki wa yanga tangu lini mkajua mipango ya simba...tangu hatua ya mwanzo kabisa si mlikuwa mnashabikia wapinzani wetu kuanzia mbabane..nkana na kuendelea mmefika wapi hadi sahivi zaidi ya kupata vidonda vya tumbo huku mnapumuliwa na kina lipuli
 
Reactions: Tui
Aiseeee. Naona mnapanga kutuvuruga zaidi.
Mtani mmeshavurugika. Kuwavuruga sio priority. Mmeshajivuruga.
SIMBA ndio brand kubwa sasa hivi.Just imagine kuna mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes jumapili tarehe 24 March. TENA mechi muhimu ya kufuzu Fainali ya Mataifa ya Afrika lakini majority ya watu wanazungumzia mechi ya SIMBA.
Ndio utajua maana ya the biggest brand.
 
Naona tunaongea lugha mbili tofauti hapa.

Roho mbaya fc....sisi target yetu ilikuwa ni kushiriki hatua ya makundi ambayo tulishafika na tumezidi malengo mpaka sasa...so hatuna cha kupoteza mpaka sasa sababu malengo tushayafikia...

Hii kauli ndio iliyosababisha nikasema vile.
 
Hahahaaa. Mtapasuka sana kwa hasira mwaka huu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

NA BADO. ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
 
Naona tunaongea lugha mbili tofauti hapa.



Hii kauli ndio iliyosababisha nikasema vile.
Ok habari ndo hiyo...target yetu sisi ilikuwa ni kufika hatua ya makundi na tulishafika so haya mengine ni ziada kwetu sisi so hatuna cha kupoteza...nyi endeleeni kupumuliwa na kina lipuli huko
 
Hahahaaa. Mtapasuka sana kwa hasira mwaka huu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

NA BADO. ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
Sasa kati ya sisi na nyie yanga nani anapasuka kwa hasira...yaani sisi tunafuzu robo fainali ambayo nauhakika tangu unazaliwa mpaka hapo ulipo hujawai iona yanga inafika iyo hatua nyie mnapumuliwa huko iringa na kina lipuli afu sisi tupasuke kwa hasira...nani wa kupasuka kwa hasira kati ya sisi na nyinyi
 
Kama unayajua haya yote mbona unapanic sasa.

HUU MCHEZO AUHITAJI HASIRA MKUU.

BYE
 
TP Mazembe ni timu ya kawaida sana, hachomoki uwanja wa Taifa, tatu mtungi halafu tunakomaa kwao kwa sare. Nusu fainali hiyooo njia nyeupe peeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ