IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Nani anarudi nyuma...tunarudi nyuma kwenda wapi.??..basi tufanye sisi simba tumerudi nyuma nyi yanga mmeenda mbele...nyi mashabiki wa yanga tangu lini mkajua mipango ya simba...tangu hatua ya mwanzo kabisa si mlikuwa mnashabikia wapinzani wetu kuanzia mbabane..nkana na kuendelea mmefika wapi hadi sahivi zaidi ya kupata vidonda vya tumbo huku mnapumuliwa na kina lipuliNaona mnaanza kurudi nyuma taratibu eeeeee. Haya bana Mkuu