nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Hata mimi nilipendelea watupe huyu wydad dah ila ngoja tusubiri.Ila hii draw imetutupia zigo bana,ingetuba Casablamca
Kwa simba hiki sio kilio, vyura tu ndo mnaamini kua hiki ni kilio.
Mkuu nifafanulie mbona horoya na wydad walikua kundi moja?Mshindi ya Simba vs mazembe
Anacheza nusu na mshindi Kati ya
Horoya FC vs wydad Casablanca
View attachment 1050100
Sent using Jamii Forums mobile app
point tena!Toba anaanzia nyumbani,Ila yote kwa yote Point tatu lazima aziache nyumbani hapa
Acha UBOYA mkuu sisi hata hatuna muda na hukoHaya sasa Yanga,mume huyo mmepata kifaa kingine
TP Mazembe si timu ya kiwango cha Simba, ila maandalizi ya jinsi ya kuikabili yanaweza kuleta matokeo kiasi cha kuridhisha.Tunataka tuharibu taifa la Congo kisoka.
Hahaaa mkuu unataka kutema nyama mapema ivi tutashinda naaminihata tukipigwa kwa tulipofikia ni hatua kubwa sana
Trip hii Zahera haendi kuiandaa timu ya TaifaAcha UBOYA mkuu sisi hata hatuna muda na huko
sisi tunajiandaa na Alliance.