Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mshindi ya Simba vs mazembe
Anacheza nusu na mshindi Kati ya
Horoya FC vs wydad Casablanca
D2H0s_2X4AABLcl.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila na kheri timu yangu ya simba. Najua hamta tuangusha. Japo wana yanga mambumbumbu wanatuombea mabaya lakini tunawasamehe maana hawajui watendalo. kwani mafanikio ya simba yana jenga heshima ya nchi kwa kuongeza point zitakazopelekea nchi kuongezewa tim kwenye mashindano hili hawalioni.
 
Simba iwaheshimu Mazembe, ijue kua Mazembe ni timu kubwa isihisi wanawaweza.

Walinde na wafanye zaidi counter.

Kujihisi wanawaweza Al Ahly ndiyo wakala hamsa.
 
Back
Top Bottom