Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Kwa simba hiki sio kilio, vyura tu ndo mnaamini kua hiki ni kilio.
Lakini kwa simba ambayo lengo letu ilikua kufika makundi na tushavuka hii si kilio ni kicheko

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh lengo sio Ubingwa tena,au mmeona Mwanaume huyu anakuja kuwaoa kweli hapa home kwenu sio kama wale wengine waliokuwa wanawachezea na kuwaacha bila kuwaoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambie unaonaje game hii, simba anawezo uwezo wa kushinda nyingi home na kuzuia ugenini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…