Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama utakuwepo tutakutana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapata faida gani,hebu tujuzeniTeh teh teh,jezi yangu ya Mazembe ya wakati ule bado ninayo subiri kesho niitafute kabatini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni mtoano hakuna cha points hapoToba anaanzia nyumbani,Ila yote kwa yote Point tatu lazima aziache nyumbani hapa
Hahaah saizi anangojea kwa hamu siku ifime aanzs kubwataZuhura hapo mwanya wake uko nje mashavu.
Naona mnamsifia wifi yenu,dada yake na VitaSimba hatoboi hana timu ya kuifunga mazembe chezea hengine waarabu wanamjua ndani nje anawapiga tu ni timu iliyofynga magoli mengi zaidi kuliko timu yeyote 16 bora thubutu wanakuja kulipiza kisasi cha ndugu yao AS VITA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga hawachoki,,,, watasema tena "sasa mwisho wenu umewadia".
Mbona kwenye hayo makundi yanga hawapo wakati ni yakimataifa?Mshindi ya Simba vs mazembe
Anacheza nusu na mshindi Kati ya
Horoya FC vs wydad Casablanca
View attachment 1050100
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh lengo sio Ubingwa tena,au mmeona Mwanaume huyu anakuja kuwaoa kweli hapa home kwenu sio kama wale wengine waliokuwa wanawachezea na kuwaacha bila kuwaoa?Kwa simba hiki sio kilio, vyura tu ndo mnaamini kua hiki ni kilio.
Lakini kwa simba ambayo lengo letu ilikua kufika makundi na tushavuka hii si kilio ni kicheko
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki tena data zako. Horoya alikuwa na Esperance.
Kweli wewe ni busha
Linaongea kama ajuza.
Wanatokaje wakati mbabe wao alishindwa kutoka taifa?
Mpaka sasa Mazembe kaishapigwa 4 bila CCM Kirumba na Lubumbashi droo, Nusu hiyoooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshapata mume mwingine wakumshangilia??..kifiro kipo palepale kwa nyinyi na mume wenu