brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe acha kuipangia Tp MazembeMechi ya Kwanza
Simba 2 mazembe 1
Mechi ya 2 kule Congo
Mazembe 4 Simba 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania mkuu.First leg ni wapi?
Mimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
Chura bwawa ulilopo halina maji?unatakiwa uwe umelala,hii ishu haikuhusuTulia wewe acha kuipangia Tp Mazembe
Mwinyi zahera TUNAKUOMBA uitelekeze tena yanga ili ifungwe tena huku sisi tukipiga tena hawa bakongooo.
Goli 8 zinawasubiri, safari hii kwq mchina lazima mchapwe za kutosha labda mtoe kafara kubwaChura bwawa ulilopo halina maji?unatakiwa uwe umelala,hii ishu haikuhusu
Tutapita na weweGoli 8 zinawasubiri, safari hii kwq mchina lazima mchapwe za kutosha labda mtoe kafara kubwa
Tumefikia zaidi ya malengo tuliyojiwekea.Mimi Mnyama damu ila record yetu mechi za ugenini
5- 0
5- 0
2- 0
Hatujafunga hata goli moja ugenini hatua ya makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na nyie mambumbumbu