magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
As Vita ndio bingwa mtetezi ligi ya Congo Sasa sembuse huyu mazembe ambae Kama yanga Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hamna cha points.........Toba anaanzia nyumbani,Ila yote kwa yote Point tatu lazima aziache nyumbani hapa
Utaona.
Hawakuwa kundi moja. Wydad alikuwa kundi 'A' pamoja na timu ya Lobi stars, Mamelodi Sundowns na Asec Mimosas
Eti mabadiliko ya kiufundi. Lolote litakalotokea ni kupigwa kwa mchina na congo piaHizo ni kwenye makundi; hii ni robo fainali tegemea mabadiliko makubwa ya kiufundi kwa kila timu zilizofuzu. Lolote linaweza kutokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkitoa kafara watu watatu goals tatu,so ni vizuri tuu.Hapa pagum maana tunaanza nyumban sijui inakuaje
Na ndio hivyo Mazembe wataongeza Ufundi wakupige 10 kabisa kwaoHizo ni kwenye makundi; hii ni robo fainali tegemea mabadiliko makubwa ya kiufundi kwa kila timu zilizofuzu. Lolote linaweza kutokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho.lazma tuingie nusu fainali.
Veve wasema nzuri sanaWe acha chezea tp mazembe iko funga simba hapa hapa home rudiana lubumbashi pigwa nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app