Klabu ya Simba yatakiwa kuheshimu na kuacha kubagua vyombo vya habari

View attachment 2317520Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya habari.View attachment 2317521
Hayo yamejili jana katika uwanja wa Benjamini Mkapa, lilipokuwa likiendeshwa zoezi la utoaji wa vitambulisho vya kuingilia kwenye Tamasha la Simba day.

Wakizungumza na Mwakilishi wa Jamii Forum wamesema kuwa wamesikitishwa sana na Chiko kwa kitendo cha kutotuthamini sisi wanahabari, ebu angalia wanavyotuchukulia kama sijui kitu gani, alionekana akilalamika mmoja wa Wanahabari uwanjani hapo.View attachment 2317523

"Nimeripoti habari za Simba kwa miaka kumi sasa leo najibiwa kama mbwa mimi, nisiye na thamani, tumekuwa pamoja muda wa miezi sasa wakituita tunakuja bila hata malipo yoyote hata kutupa nauri tu hakuna lakn kwa kuwa ni wajibu wetu sisi hilo hatujali eti leo tuna ambiwa wanaopewa ni wale wanaowafahamu wao kama hakufahu hawezi kukupa tafuta utaratibu wa kuingia ndani" alisema mwandishi x.View attachment 2317524

Aliendelea kwa kusema kuwa sisi wengine kwa sababu yakuandika mazuri kuhusu Simba imepelekea kuzuiliwa kuingia kwenye shughuli za Yanga, lakini hilo hatujali ila hili la leo Simba mmetuvua nguo.

"Ebu tamaza wanahabari wanavyodhalilishwa hapo wanapangishwa foleni kama wanahesabu namba, wakati wengine wamewahita vyumbani wakawapatia hivyo vitambulisho, ambao hata kwenye shughuli nyi gi za Simba hawaonekani na sisi tupo kila shughuli yao lakni wanatufanyia hivi" alisema x

Pia wameuomba uongozi wa Simba kutokuruhusu vitendo kama hivyo kwa kuwa vinaleta picha mbaya kwa klabu hiyo.

Simba ni klabu kubwa Tanzania na nje ya Tanzania hivyo basi ikiruhusu tena makosa kama haya dhidi ya wanahabari itaondoa ile taswira imara mbale ya jamii.
Tafuta pesa usipende mambo ya bure hii dunia imeharibika sana. Kwa wanaume huwa hawana muda na mambo ya bure. Shida ninyi wadada mnapenda bure na mnadhani ni haki yenu.
 
Hiyo aya ya 3 kutoka mwisho hilo neno "wamewahita" kama limetumiwa na muandishi wa habari napendekeza anaswe makofi mawili na teke moja kisha akatazwe kuandika taarifa yoyote.
 
Gsm kanunua waandishi wengi,hata yanga iboronge mnaandika in a positive way,simba mko sahihi safi sana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimesoma vizuri hiyo habari ila kwa mwandiko huu kwa makosa haya ya kiuandishi, Simba wana haki ya kuwacancel. Kitu kimoja muhimu katika taaluma ya uandishi wa habari ni kuepuka typing errors na makosa mengine ya kimaandishi makosa hayo bora yafanywe na mtu mwingine yeyote ila siyo mwandishi wa habari. Kama wewe ndo mwandishi umeandika kwa mwandiko huo basi tuna safari ndefu sana
 
Nitajie hyo mwana habari Tanzania anayeisifia simba zaidi ya jemedari wachambuzi wote na wana habari Tanzania waliponda pre season ya simba wakasema kubaki ni bora zaidi leo mnalalamika wakati mabaya yote mnayowafanyia simba haijawahi kulalamika endeleeni kupokea bahasha za GSM simba ni brand kubwa Africa mpaka GSM anajua hlo
 
Kumbe mwandishi mmoja tena anayebembeleza kuingia bure? Hata elfu 5 ilikushinda kweli? Aaaa jamaa angu, unajidharirisha
 
Back
Top Bottom