Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Sawa mzeesahihi haiwezekani mseme kutoka nijeria akati alikua tanga ......jamani mnashindwa kufata wachezaji Nigeria mnigeria wa tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mzeesahihi haiwezekani mseme kutoka nijeria akati alikua tanga ......jamani mnashindwa kufata wachezaji Nigeria mnigeria wa tanga
Huyu ndo yule wamesema kachezea inglandi?Huyu naye ni katika waliojaa Utopolo, akiwa na makasha ya samaki huko nje.View attachment 2286140
Hivi kambale home ni wapi?Mnigeria aliyekuwa anaishi Handeni
Ndiyo yeye Bigi, ambaye ametambulishwa jana kwenye ukumbi huku akisema kuwa alipata Ofa nyingi, lakini aliposikia plans za rais wa Yanga akaamua kuja Afrika.Huyu ndo yule wamesema kachezea inglandi?
Hivi hawa viongozi wa Yanga wanatuchukuliaje sisi mashabiki?
Wanadhani sie wajinga hatuwezi tafsiri mambo mbona player kama kafanana na marehemu dk shika?
Kwenye MabwawaHivi kambale home ni wapi?
Wenye akili hapo utopoloni ni wawili tu.....Hivi kuna jambo kubwa kama lile la Yanga kutaka kwenda Ikulu kumuona Rais Samia kwa madai ya kuonewa, yaani mapema tu mmesahau..!
Utopolo hakuna mchezaji mwenye kiwango cha Lwanga akiwa fiti bila majeruhi.Another Thadei Lwanga
Mbona unaharisha utumbo wwsahihi haiwezekani mseme kutoka nijeria akati alikua tanga ......jamani mnashindwa kufata wachezaji Nigeria mnigeria wa tanga
Kama vile Morrison alivyotokea hapo KariakooKumbe ametokea hapo Tanga!
Kumbe ni mbeba maboksi tehe tehe tehe tehe tehe tehe teheeeee!!!!!Huyu naye ni katika waliojaa Utopolo, akiwa na makasha ya samaki huko Europe.View attachment 2286140
Morison ametokea jangwaniKama vile Morrison alivyotokea hapo Kariakoo
Mkuu kumbe unajua halafu unashangaa Victor kutokea Tanga!!!Morison ametokea jangwani