Klabu ya Simba yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo Mnigeria Victor Akpan

Klabu ya Simba yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo Mnigeria Victor Akpan

Huyu ndo yule wamesema kachezea inglandi?

Hivi hawa viongozi wa Yanga wanatuchukuliaje sisi mashabiki?

Wanadhani sie wajinga hatuwezi tafsiri mambo mbona player kama kafanana na marehemu dk shika?
Ndiyo yeye Bigi, ambaye ametambulishwa jana kwenye ukumbi huku akisema kuwa alipata Ofa nyingi, lakini aliposikia plans za rais wa Yanga akaamua kuja Afrika.

Mzee Mpili aliposikia hivyo tu, aliruka kiti akaondoka kwanza ili kupisha porojo.
 
Simba hii mwakani itakuwa hatari sana na naiomba serikali kupitia wizara ya madini maliasaili kuwakumbusha watalii wasishuke ndani ya magari yao kwani ni hatari na hao porchers wataliwa mapema sana mwakani.
 
Back
Top Bottom