SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sasa nyie ndiyo mchukue mstaafu wa timu ya Taifa ya Burundi? Hersi kawapiga na kitu chenya ncha kali.Mchezaji Miaka Nenda Rudi Yupo Ligi Kuu Na Hajawahi Hata Kuitwa Timu Ya Taifa [emoji28]
Ndiyo maana wameangukia kwa mbeba maboksi ya maparachichiKwamba ukisajili mchezaji wa ndani unakuwa umekwama? Umeishiwa? Au
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Mayele huyu anayeshindwa na GEORGE MPOLE?Mayele alimtoboa Juma kaseja pale Taifa akiwa anacheza timu ya Taifa ya Kongo. Ukiacha Samata na Msuva hakuna forward wa kibongo mwenye Kariba ya Mayele Kwa Sasa...
Anafunga goli mojamoja kama magoli ya dawa!Mayele huyu anayeshindwa na GEORGE MPOLE?
vigoli 16? Acha masihara.....
Mayele hana nafasi timu ya taifa ya kongo....na sio congo tu,hata angekuwa bongo
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwani hiyo neshinoo timu yenyewe si upwatala mtupu?Mchezaji Miaka Nenda Rudi Yupo Ligi Kuu Na Hajawahi Hata Kuitwa Timu Ya Taifa [emoji28]
Mkuu mbona unajitoa ufahamuMayele alimtoboa Juma kaseja pale Taifa akiwa anacheza timu ya Taifa ya Kongo. Ukiacha Samata na Msuva hakuna forward wa kibongo mwenye Kariba ya Mayele Kwa Sasa.
Ni kwasababu ya Chupri za Marefa ndio maana alikosa kiatu Cha mfungaji Bora ila hakuna mshabiki asiyejua ukweli kuhusu uwezo wa Mayele.
Phiri na Akpan ni foreigners mkuuNgoja itakapofika muda wa kuwatambulisha foreigners ndio wengi wataanza kuelewa
Sijui kama klabu hizi za kariakoo zina uwezo kuvunja mikataba ya wachezaji wa vilabu vya nje ya Tanzania. Labda utufahamishe Simba imevunja mkataba wa mchezaji ganiSimba next level,
Inasajili kimkakati na kiufundi,kuna mijamaa inasajili kama fisi tu na kufuata kelele za mashabiki,wao ni mwendo wa free agent tu,yaani wanaitwa JOYCE ZOAZOA mchezaji akiwa released tu hao washafika.....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Afu wanavyotamba eti kikosi cha kuchukua CAF na uefa ...[emoji1787]uchukue CAF Kwa free agents n wachezaji waliofeli kwenye timu zao[emoji23][emoji23] hawa jamaa wamelogwa walaiSimba next level,
Inasajili kimkakati na kiufundi,kuna mijamaa inasajili kama fisi tu na kufuata kelele za mashabiki,wao ni mwendo wa free agent tu,yaani wanaitwa JOYCE ZOAZOA mchezaji akiwa released tu hao washafika.....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Huwa unaangalia mpira lakini?? Hivi goli kama alilofungwa Nula boy na Mayele kwenye ngao ya jamii si ndio kama alilofungwa Kaseje pale taifa kwenye kati ya kongo na tz??Mbona wa kutetema naye hatujaona akiitwa timu ya Taifa naye mbovu? Maana anasifiwa ni mchezaji hatari
Kwa bilion 2 alizosema manara bado hazitoshi?Sijui kama klabu hizi za kariakoo zina uwezo kuvunja mikataba ya wachezaji wa vilabu vya nje ya Tanzania. Labda utufahamishe Simba imevunja mkataba wa mchezaji gani
Bao moja ndio liwekalo mimba,nyingine mbwembwe.Kwa kweli hayupo mchezaji anafunga kufunga kagoli kamoja tu kazi imeisha
Sijaelewa, Manara kasemaje kuhusu hizo bilion 2Kwa bilion 2 alizosema manara bado hazitoshi?
Labda Africa Bambataa ya Clouds FM.Hatimaye Africa yatikisika tena
Hamchelewi kulilia dirisha dogo lifike mapema.Wachache sana wenye kuelewa hilo
Klabu ya Simba SC msimu huu umeamua kujitenga na mihemko, inasajili kwa mahitaji.
Alisema safari hii mtafanya usajili mkubwa haijawahi kutokea mtatumia dollar milion 1 ambazo ni bilion 2.3 kwa madafuSijaelewa, Manara kasemaje kuhusu hizo bilion 2
Ila sisi Simba Sc tunafanya usajili wa kijinga sana msimu huu, wenzetu wamesajili WONDER KID Bigirimana kutoka UK halafu sisi tuko busy na wachezaji wa ndani tu.Alisema safari hii mtafanya usajili mkubwa haijawahi kutokea mtatumia dollar milion 1 ambazo ni bilion 2.3 kwa madafu