Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama

Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama

Mayele alimtoboa Juma kaseja pale Taifa akiwa anacheza timu ya Taifa ya Kongo. Ukiacha Samata na Msuva hakuna forward wa kibongo mwenye Kariba ya Mayele Kwa Sasa...
Mayele huyu anayeshindwa na GEORGE MPOLE?

vigoli 16? Acha masihara.....
Mayele hana nafasi timu ya taifa ya kongo....na sio congo tu,hata angekuwa bongo

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_1657541654462.jpg
 
Mayele alimtoboa Juma kaseja pale Taifa akiwa anacheza timu ya Taifa ya Kongo. Ukiacha Samata na Msuva hakuna forward wa kibongo mwenye Kariba ya Mayele Kwa Sasa.

Ni kwasababu ya Chupri za Marefa ndio maana alikosa kiatu Cha mfungaji Bora ila hakuna mshabiki asiyejua ukweli kuhusu uwezo wa Mayele.
Mkuu mbona unajitoa ufahamu

Jibu swali mayele yupo neshinoo timu?
 
Simba next level,
Inasajili kimkakati na kiufundi,kuna mijamaa inasajili kama fisi tu na kufuata kelele za mashabiki,wao ni mwendo wa free agent tu,yaani wanaitwa JOYCE ZOAZOA mchezaji akiwa released tu hao washafika.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Sijui kama klabu hizi za kariakoo zina uwezo kuvunja mikataba ya wachezaji wa vilabu vya nje ya Tanzania. Labda utufahamishe Simba imevunja mkataba wa mchezaji gani
 
Afu wanavyotamba eti kikosi cha kuchukua CAF na uefa ...[emoji1787]uchukue CAF Kwa free agents n wachezaji waliofeli kwenye timu zao[emoji23][emoji23] hawa jamaa wamelogwa walai
 
Mbona wa kutetema naye hatujaona akiitwa timu ya Taifa naye mbovu? Maana anasifiwa ni mchezaji hatari
Huwa unaangalia mpira lakini?? Hivi goli kama alilofungwa Nula boy na Mayele kwenye ngao ya jamii si ndio kama alilofungwa Kaseje pale taifa kwenye kati ya kongo na tz??
 
Sijui kama klabu hizi za kariakoo zina uwezo kuvunja mikataba ya wachezaji wa vilabu vya nje ya Tanzania. Labda utufahamishe Simba imevunja mkataba wa mchezaji gani
Kwa bilion 2 alizosema manara bado hazitoshi?
 
Alisema safari hii mtafanya usajili mkubwa haijawahi kutokea mtatumia dollar milion 1 ambazo ni bilion 2.3 kwa madafu
Ila sisi Simba Sc tunafanya usajili wa kijinga sana msimu huu, wenzetu wamesajili WONDER KID Bigirimana kutoka UK halafu sisi tuko busy na wachezaji wa ndani tu.
 
Back
Top Bottom