Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama

Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama

Tuna sisitiza Simba isajili, iache mambo ya maskara, Mtaanza kulalamikia Tff bila Sababu kama alivyo lalamika ndugu Mangungu msimu uliopita. Mpira ni uwekezaji Sasa nyie endeleeni na kuchezea shilingi chooni.
Wachilia mbali kulalamika kuhusu TFF, lakini Yanga walienda mbali zaidi.

Kubwa ni lile la kutaka kwenda Ikulu kumuona Rais Samia kwa madai ya kuonewa...!
 
Mayele alimtoboa Juma kaseja pale Taifa akiwa anacheza timu ya Taifa ya Kongo. Ukiacha Samata na Msuva hakuna forward wa kibongo mwenye Kariba ya Mayele Kwa Sasa...
Kwa kweli hayupo mchezaji anafunga kufunga kagoli kamoja tu kazi imeisha
 
Back
Top Bottom