makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
kweliYule dogo ni bonge la mchezaji ni vile mmejaa ushamba hamjui hata ubora wa mtu.
Sijawahi kuona mchezaji ambaye mipira yake ya adhabu au kona ina hatari kama Calinhos hapa nchini.
Natamani sana iwe hivyo. Kwa sasa Kichuya ameshakuwa maturedNdiyo hivyo sasa. Ameshakula mkataba. Bado tu kutambulishwa rasmi. Hivyo msimu ujao atachezea timu yake pendwa ya simba.
Umenena mkuuUmenena vema sana kiongozi. Yani sisi wabongo ni washobokaji sana nalazimika kutumia hilo neno japo linawezekana lisionekane ni zuri lakini haina namna inabidi nilitumie hilohilo tu...
hii ndio mishabiki ya hovyo,haijui kama usajili ni biashara. ulitakaje? akae kimya aseme tunasajili mchezaji wa kawaida, halafu watu wakalipie Simba App? ficha upumbavu wakoIpo siku Ahmedy Ally atapigwa mawe na mashabiki wa Simba, yaani usajili huu ndo wa kusimamisha Afrika.? Amewaweka mashabiki kwenye tension kubwa sana, kumbe ni mchezaji ambaye wameenda kugombaniana na Singida.? Wonders shall never endπππππ
Kiyombo mechi 15 goli 6, assist 9. Mayele mech 30 goli 16 assist 4, angalia viungo wanaomzunguka mayele halafu njoo kwa kiyombo. Je umejifunza nn hapoKuna tofauti kubwa sana kati ya Habib Kiyombo wa Mbao Fc na huyu aliyesajiliwa simba. Anyway, makocha wake wamsaidie kurejea kwenye kiwango chake cha awali.
Kiukweli huyu wa sasa, ni wa kawaida sana.
By the way, na Kichuya naye mnamtambulisha lini?
Utakuwa hujanielewa bila shaka. Mimi nimemlinganisha Habib Kiyombo wa Mbao Fc na huyu Habib Kiyombo wa sasa, aliyesajiliwa simba.Kiyombo mechi 15 goli 6, assist 9 .Mayele mech 30 goli 16 assist 4, angalia viungo wanaomzunguka mayele halafu njoo kwa kiyombo. Je umejifunza nn hapo
Shida yetu tumetanguloza mno ushabiki bila kujali uhalisia! Leo hii Mpole amepambana na timu yake ya kawaida hadi kuibuka kidedea lakini bado watu wanamuona Mayele ni kama Malaika wakati ukiangalia daraja la wachezaji waliomzunguka Mayele na wale waliomzunguka Mpole unaona ni kwa namna gani kijana wetu alipambana. Tujifunze kuthamini vya kwetuKiyombo mechi 15 goli 6, assist 9 .Mayele mech 30 goli 16 assist 4, angalia viungo wanaomzunguka mayele halafu njoo kwa kiyombo. Je umejifunza nn hapo
sasa mtu kama huyo akipata timu bora unadhani itakuwaje? tuwape nafasi bila preshaKiyombo mechi 15 goli 6, assist 9 .Mayele mech 30 goli 16 assist 4, angalia viungo wanaomzunguka mayele halafu njoo kwa kiyombo. Je umejifunza nn hapo
Habibu wa sasa wewe umemuona wapi? huyo wa Mbao ulimuona kwa sababu aliifunga YangaUtakuwa hujanielewa bila shaka. Mimi nimemlinganisha Habib Kiyombo wa Mbao Fc na huyu Habib Kiyombo wa sasa, aliyesajiliwa simba.
Sikumfananisha huyo Habib Kiyombo na mchezaji yeyote yule wa ligi kuu.
Natofautiana nawe kabisa,Mayele ni mchezaji wa pekee huwezi mlinganisha na Mpole.Shida yetu tumetanguloza mno ushabiki bila kujali uhalisia! Leo hii Mpole amepambana na timu yake ya kawaida hadi kuibuka kidedea lakini bado watu wanamuona Mayele ni kama Malaika wakati ukiangalia daraja la wachezaji waliomzunguka Mayele na wale waliomzunguka Mpole unaona ni kwa namna gani kijana wetu alipambana. Tujifunze kuthamini vya kwetu
Mashabiki wa simba wamekua wanyonge sana baada ya huu usajili hadi kuna mmoja imebidi nimnunulie glucose sukari ilishuka sana kwa majonzi ya usajili.Ipo siku Ahmedy Ally atapigwa mawe na mashabiki wa Simba, yaani usajili huu ndo wa kusimamisha Afrika.? Amewaweka mashabiki kwenye tension kubwa sana, kumbe ni mchezaji ambaye wameenda kugombaniana na Singida.? Wonders shall never endπππππ
Stress zitawauwa kutete ujinga! Unalipia Simba App mnasubiri kutangaziwa Habibu Kyombo then after few seconds inawekwa kwenye social medias nyingine tena bure.! Upuuzi mtupu.hii ndio mishabiki ya hovyo,haijui kama usajili ni biashara. ulitakaje? akae kimya aseme tunasajili mchezaji wa kawaida, halafu watu wakalipie Simba App? ficha upumbavu wako
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam, leo Julai 9, 2022 imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Habibu Kyombo kwa mkataba wa miaka miwil...