Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Habibu Kyombo

Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Habibu Kyombo

Stupid kabisa! ndio suprise tulikuwa tunaisubiria hii?
 
Nimeangalia video fupi ya magoli aliyofunga Kyombo kule twitter, jamaa anajua, ana jicho la goli, yupo composed hana papara, aliwagonga mpaka utopolo.

Anafunga nje ya box, ndani ya box, anajua kufunga kwa free kicks, mpaka kisigino, yuko vizuri sana, muhimu apewe ushirikiano tu na wenzake
Pale simba mmepata mchezaji, Mamelody kuna kitu walikiona kwake ndio maana wakamchukua japo hakucheza, hata Miquissone hakucheza Mamelody lakini walichokiona kwake alikuja kukionesha simba.
 
Ipo siku Ahmedy Ally atapigwa mawe na mashabiki wa Simba, yaani usajili huu ndo wa kusimamisha Afrika.? Amewaweka mashabiki kwenye tension kubwa sana, kumbe ni mchezaji ambaye wameenda kugombaniana na Singida.? Wonders shall never end😂😂😂😂😂
Wanaoweza kuisimamisha nchi ni wageni tu ?
 
Pale simba mmepata mchezaji, Mamelody kuna kitu walikiona kwake ndio maana wakamchukua japo hakucheza, hata Miquissone hakucheza Mamelody lakini walichokiona kwake alikuja kukionesha simba.
Wacha ligi ianze kijana aanze kuwaonesha anaiweza kazi.
 
Back
Top Bottom