Huyu wa Mbeya Kwanza takwimu zake ni nzuri zaidi kuliko yule wa Mbao FC. Kumbuka wasomi huwa tunaagalia rate ama percentageUtakuwa hujanielewa bila shaka. Mimi nimemlinganisha Habib Kiyombo wa Mbao Fc na huyu Habib Kiyombo wa sasa, aliyesajiliwa simba.
Sikumfananisha huyo Habib Kiyombo na mchezaji yeyote yule wa ligi kuu.
Basi sawa.Huyu wa Mbeya Kwanza takwimu zake ni nzuri zaidi kuliko yule wa Mbao FC. Kumbuka wasomi huwa tunaagalia rate ama percentage
tatizo lako unaweka hisia mbele kuliko dataBasi sawa.
wewe mropokaji huna hadhi ya kujibiwa na mimi.Stress zitawauwa kutete ujinga! Unalipia Simba App mnasubiri kutangaziwa Habibu Kyombo then after few seconds inawekwa kwenye social medias nyingine tena bure.! Upuuzi mtupu.
Bocco ndiye hirizi ya Timu!Ni muda wa kuwaacha kina boko sasa.
Nakuunga mkono Mkuu, Yule alikua mchezaji wa kweli toka nimeanza kufuatilia mpira sijawahi kuona kipaji kama kile, basi sikujua kwanini aliachwa!Yule dogo ni bonge la mchezaji ni vile mmejaa ushamba hamjui hata ubora wa mtu.
Sijawahi kuona mchezaji ambaye mipira yake ya adhabu au kona ina hatari kama Calinhos hapa nchini.
Halafu huu uzi umejaa watu wa Simba mnaojua jinsi tulivyokwama kifedha na hivyo naona mmebakiza pesa ya kutafutia kiki mitandaoni huku wapinzani wakifanya kweli kwenye usajili
mazingira magumu vpNatofautiana nawe kabisa,Mayele ni mchezaji wa pekee huwezi mlinganisha na Mpole.
Ukizungumzia viuongo waliomzunguka,zungumzia na mabeki wanavyomkaba Mayele.
Mayele anafunga katika mazingira magumu sana huwezi kumlinganisha na akina Mpole.
Kuhusu Usajili wa Kyombo.Simba Ina tatizo. Huyu ataishia kukaa benchi msimu mzima. Sijui hakuna scouting. Hawajajifunza kwa Yusuf Mhilu.
Usisahau hata misimu iliyopita Yanga walibeza kuwa Simba SC imesajili Wazee lakini walichofanya kwa misimu minne kila mmoja ameona."Yote 9, hii mainstream imejaa mabogus"
Mashabiki maandazi.
Nakumbuka Hata msimu jana tuliwamenga sana Yanga eti wamesajili wakongo wanataka kuanzisha band ya mziki!! Lakini hao hao wakongo ndo wamekiwasha hatari
Tusubiri muda utaongea!!!
Ukiangalia takwimu kati ya Mugulu na Kyombo bora kyomboKiyombo mechi 15 goli 6, assist 9. Mayele mech 30 goli 16 assist 4, angalia viungo wanaomzunguka mayele halafu njoo kwa kiyombo. Je umejifunza nn hapo
Hili la Yanga kusajili wachezaji 2 wa kigeni kambole magoli 2 mechi 48 , morisoni mechi 22 magoli 0 na huyu aliyesajili mchezaji mzawa mechi 12 magoli 6?Kuna tofauti kubwa sana kati ya Habib Kiyombo wa Mbao Fc na huyu aliyesajiliwa simba. Anyway, makocha wake wamsaidie kurejea kwenye kiwango chake cha awali.
Kiukweli huyu wa sasa, ni wa kawaida sana.
By the way, na Kichuya naye mnamtambulisha lini?
Hili la Yanga kusajili wachezaji 2 wa kigeni kambole magoli 2 mechi 48 , morisoni mechi 22 magoli 0 na huyu aliyesajili mchezaji mzawa mechi 12 magoli 6 unalizungumziaje mkuu? Au kwakuwa wako Yanga utakuja na utetezi ?Kuna tofauti kubwa sana kati ya Habib Kiyombo wa Mbao Fc na huyu aliyesajiliwa simba. Anyway, makocha wake wamsaidie kurejea kwenye kiwango chake cha awali.
Kiukweli huyu wa sasa, ni wa kawaida sana.
By the way, na Kichuya naye mnamtambulisha lini?
Ni muda wa kuwaacha kina boko sasa.
Bado hamjanisoma kabisa. Kiyombo ni mchezaji mzuri! Ila majeraha yamemrudisha sana nyuma.Hili la Yanga kusajili wachezaji 2 wa kigeni kambole magoli 2 mechi 48 , morisoni mechi 22 magoli 0 na huyu aliyesajili mchezaji mzawa mechi 12 magoli 6?
Umeongea fact mkuu, tumekalili wachezaji wa nje ndio wanafaa, type ya kina MugaluWachezaji wa ndani wana wajibu mkubwa wa kuprove wrong hawa mashabiki maandazi. Kila zikisemwa tetesi za kina Habibu, Kichuya, Mhilu, Kapama utaona mashabiki mandazi wakilaumu. Ukiwaukiza kwa hiyo asajiliwe nani,hawana jibu wao wanataka kusikia wachezaji toka nje,wanataka kusikia Ki Aziz, Okrah, Akpan, Manzok nk
Hatimaye mmepewa fursa ya kuonekana. You have to show your fucking talent and make them mute and puzzled.
Imagine mchezaji kafunga goli 6 kwenye ligi na bado mashabiki maandazi hawamtaki. Hawafikirii akipewa nafasi timu nzuri anaweza kufanya poa