ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Pale simba mmepata mchezaji, Mamelody kuna kitu walikiona kwake ndio maana wakamchukua japo hakucheza, hata Miquissone hakucheza Mamelody lakini walichokiona kwake alikuja kukionesha simba.Nimeangalia video fupi ya magoli aliyofunga Kyombo kule twitter, jamaa anajua, ana jicho la goli, yupo composed hana papara, aliwagonga mpaka utopolo.
Anafunga nje ya box, ndani ya box, anajua kufunga kwa free kicks, mpaka kisigino, yuko vizuri sana, muhimu apewe ushirikiano tu na wenzake
Wanaoweza kuisimamisha nchi ni wageni tu ?Ipo siku Ahmedy Ally atapigwa mawe na mashabiki wa Simba, yaani usajili huu ndo wa kusimamisha Afrika.? Amewaweka mashabiki kwenye tension kubwa sana, kumbe ni mchezaji ambaye wameenda kugombaniana na Singida.? Wonders shall never endπππππ
Wacha ligi ianze kijana aanze kuwaonesha anaiweza kazi.Pale simba mmepata mchezaji, Mamelody kuna kitu walikiona kwake ndio maana wakamchukua japo hakucheza, hata Miquissone hakucheza Mamelody lakini walichokiona kwake alikuja kukionesha simba.
Huko ulipo mtaa wenu ulisimama.?Wanaoweza kuisimamisha nchi ni wageni tu ?
Mitaa haisimamishwi ila washabiki wa timu husikaHuko ulipo mtaa wenu ulisimama.?