Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Bruno amesema kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu hali inayopelekea uhusiano wa nyota huyo na wakulima hao wa Alizeti kumalizika.

“Uamuzi huu haukuwa rahisi, lakini ulifanyika kwa nia ya kuhakikisha tunaweza kuendelea mbele kwa njia ambayo ni chanya na yenye ujenzi kwa wote.”— Bruno Gomes

“Ingawa mkataba wetu umefikia kikomo, jua kwamba upendo na heshima niliyo nayo kwenu itabaki milele. Kamwe sitasahau athari mliyonayo kwangu kama mchezaji na kama mtu.”—Bruno
1709573118979.jpg
 
Hii Singida itashuka daraja, sijui walitofautiana nini hao Fountain gate na Papaa Madelu?.
Wana mechi tano hawajafunga hata moja Hawa wasipojiangalia wanatumbukia kwenye tope la kushuka DARAJA.
 
Timu za Singida huwa hazidumu, tatizo ni nini.?
Masilahi ya mtu Binafsi Ila pale hakuna mpira maana toka Singida Fc ilivyoshuka DARAJA mh ananunua timu kutoka mikoa mingine na kuhamishia SINGIDA.
 
Back
Top Bottom