Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Bruno amesema kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu hali inayopelekea uhusiano wa nyota huyo na wakulima hao wa Alizeti kumalizika.

“Uamuzi huu haukuwa rahisi, lakini ulifanyika kwa nia ya kuhakikisha tunaweza kuendelea mbele kwa njia ambayo ni chanya na yenye ujenzi kwa wote.”— Bruno Gomes

“Ingawa mkataba wetu umefikia kikomo, jua kwamba upendo na heshima niliyo nayo kwenu itabaki milele. Kamwe sitasahau athari mliyonayo kwangu kama mchezaji na kama mtu.”—BrunoView attachment 2924545
karibu mwananchi
 
Tatizo hiyo timu inaendeshwa kwa jasho la watanzania (Kodi)
 
Back
Top Bottom