NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wana mechi tano hawajafunga hata moja Hawa wasipojiangalia wanatumbukia kwenye tope la kushuka DARAJA.Hii Singida itashuka daraja, sijui walitofautiana nini hao Fountain gate na Papaa Madelu?.
Walimkosea nini big boss mapesa mzee Madelu?Wana mechi tano hawajafunga hata moja Hawa wasipojiangalia wanatumbukia kwenye tope la kushuka DARAJA.
Watamkumbuka KAGERE[emoji23][emoji23][emoji23]Wana mechi tano hawajafunga hata moja Hawa wasipojiangalia wanatumbukia kwenye tope la kushuka DARAJA.
Yupo na Ihefu pia.Ila mwiguru bwana kwa hiyo mabasi yanalipa kwa sasa sio mpira kama alivofikiria kumilki mashabiki na uchaguzi
Masilahi ya mtu Binafsi Ila pale hakuna mpira maana toka Singida Fc ilivyoshuka DARAJA mh ananunua timu kutoka mikoa mingine na kuhamishia SINGIDA.Timu za Singida huwa hazidumu, tatizo ni nini.?
Wazo zuri MkuuKwa nini members wa JF tusijisukanye kusanye kutainunua hii timu?
Ila kwa jinsi watu humu tulivyokuwa na Simba na Uyanga sidhani kama tutadumu[emoji16]Kwa nini members wa JF tusijisukanye kusanye kutainunua hii timu?
Tutaiweka iwe timu ya kwanza ambayo haina mlengo wa kushoto au kulia, yeyote akija tunaumbonda tuIla kwa jinsi watu humu tulivyokuwa na Simba na Uyanga sidhani kama tutadumu[emoji16]
Watu wa humu watauza mechi hivi mashabiki wa humu UNAWAJUA mzeeTutaiweka iwe timu ya kwanza ambayo haina mlengo wa kushoto au kulia, yeyote akija tunaumbonda tu
Labda NHIF sio timuKwa nini members wa JF tusijisukanye kusanye kutainunua hii timu?
Unaingiza watu Chaka wewe ndio utaruhusu Simba abondwe?Tutaiweka iwe timu ya kwanza ambayo haina mlengo wa kushoto au kulia, yeyote akija tunaumbonda tu