Akikujibu nishtue 😂😂Mbona haueleweki mkuu,mara Yanga haijatoa hela mara tuulize Yanga katoa wapi ela??
Embu fafanua .
Kwel asome tena maana hapo wakuulizwa ni rais wao na sio clubNaomba urudie kusoma tena nilichoandika
Yanga damu Gsm hoyeeeeMbona haueleweki mkuu,mara Yanga haijatoa hela mara tuulize Yanga katoa wapi ela??
Embu fafanua .
Ukipenda ndugu msomaji unaweza kurudia kusoma kwa utulivu nilichoandika..lakini pia ukumbuke Yanga ina msemaji wakeRais wao anasimama anasema sisi kama yanga tumechangia 100M arf unakuja kupinga ,ndg mwandishi unabisha Nini Kwan ww ulikuwepo?
Sisi ni vivuli miaka mingi mingi.Mmesingiziwa mmechanga million mia moja kwa chama cha udugu
Vizuri, je kama unafuatilia Leo Msemaji wao kapost Nini mtandaoni kuhusu hili sakata?Ukipenda ndugu msomaji unaweza kurudia kusoma kwa utulivu nilichoandika..lakini pia ukumbuke Yanga ina msemaji wakeView attachment 3440484
Mbona Uzi unaelewa mkuuMbona haueleweki mkuu,mara Yanga haijatoa hela mara tuulize Yanga katoa wapi ela??
Embu fafanua .
Rambirambi imeisha au inaendelea ili tuone panapovuja mtani😁Hatuna kaliba wala vinasaba na shetani mtani😂
Ukipenda ndugu msomaji unaweza kurudia kusoma kwa utulivu nilichoandikaView attachment 3440484Rais wao anasimama anasema sisi kama yanga tumechangia 100M arf unakuja kupinga ,ndg mwandishi unabisha Nini Kwan ww ulikuwepo?
Nadhani ukiongea wewe watakuelewaKosa lililofanyika ni la kiongozi wa Yanga kuihusisha timu ya Yanga (timu inayoshabikiwa na watu wenye itikadi tofauti za kisiasa) na hiyo harambee ya ccm, jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Hiyo hela angetangaza ametoa yeye kama, wala ingekuwa siyo shida.