Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Uwa nafurahi sana swahiba mikia wakiwa kwenye maumivu [emoji2]
Makapuku mna shida sana. Hampati maumivu ya kuongezewa tozo kimyakimya kwenye luku ila mnapata raha ya chama kuondoka simba. Ama kweli kapuku ni kapuku tu, na serikali, simba na yanga wanatumia ukapuku wenu wa hivi kuwapumbaza muendelee kua makapuku zaidi na wao waendelee kua matajiri zaidi. Na wewe nenda kaprinti picha ya chama uendee kuzunguka barabarani.
 
Bado hujasema yan mpaka useme,huku maumivu ya tozo kule maumivu ya chama
 
Bado hujasema yan mpaka useme,huku maumivu ya tozo kule maumivu ya chama
Mnajiona mlivyo makapuku, kwamba chama atawasahaulisha maumivu ya tozo? [emoji23] Kwamba chama anayelipwa milioni 50 kwa mwezi atakuwaza na kukulipia wewe kapuku tozo za serikali
 
Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.

Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
Kivip?.kwasababu mpira ni ajira kama zingine.Chama kacheza simba kamaliza mkataba boss mwingine amejitokeza kumpa kazi aache kufanya jazi kwasababu ya maneno ya watu.Ata kama mashabiki wa simba tumeumia tumuache chama afanye kazi yake na maisha yake kwasababu hatumdai chochote.
 
Viongozi wa simba mmefanya maamuzi ya kiume. Hauwezi kila siku kukaa tunamuimba mtu mmoja. Chamaaa chamaa. Brother simba ni kubwa kuliko chama. Walikuja wakaondoka na yeye kaja ataondoka simba itabakia. Safi sana kwa hilo.
Kwani mna ugomvi naye?.Mbona maneno ni mengi sana.Tulikua naye hatukumshawishi kuongeza mkataba kapata majani mabichi kwingine hatuna haja yakumuona hafai wakati alikua kwetu siku chache zilizopita.
 
Najua makolo watamponda sana chama kwa sasa na kumpa Kila aina ya shutuma na matusi lakini chama ataendelea kuwa ni chama yule yule, kitu ambacho mashabiki wa Simba awakijui ni kwamba Mchezaji anasajiliwa kwa malengo fulani,
Lengo la kwanza ni kuisaidia timu kufikia malengo yake aidha kubeba makombe ama kufikia hatua fulani kwenye mashindano husika,
Pili anasajiliwa mchezaji kwa malengo ya kibiashara ambapo unaweza kishangaa timu inamsajili mchezaji maarufu lakini uwezo wake ukiwa umeshuka iyo inakuwa kasajiliwa kwa malengo ya kibiashara, kukuza brand ya timu, kuuza jezi na kuwavutia mashabiki kujaa uwanjani,
Kwa maana iyo nataka kuwajibu wanaobeza usajili wa chama kwenda yanga watakuwa awauelewi mpira na strategy zake,
Usajili wa chama unakwenda kuiingizia yanga mapato ya kutosha kupitia mauzo ya jezi yake, mapato ya viingilio kwenye mechi na kuisaidia timu kufikia malengo yake, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja ukiwa na kipengele Cha kuongezewa endapo atafanya vizuri,
Yanga sio wajinga wameangalia vitu ivyo vyote kwa mpigo na wameona watafaidika nae zaidi ndani ya msimu mmoja, Cristiano Ronaldo akusajiliwa kule uarabuni kwa sababu ya kiwango chake kuwa juu Bali alisajiliwa kule kwa sababu za kibiashara na klabu iliyomsajili ilifanikiwa katikati ilo,
Ivyo basi mashabiki wa Simba wanateswa na wivu tu Wala sio ubora wa chama!
Mchezaji gani kwenye timu anaperform kama ronaldo
 
Mnajiona mlivyo makapuku, kwamba chama atawasahaulisha maumivu ya tozo? [emoji23] Kwamba chama anayelipwa milioni 50 kwa mwezi atakuwaza na kukulipia wewe kapuku tozo za serikali
Tajiri unateseka ukiwa wapi?
 
Nyuma mwiko wanavyomshobokea Chama ni kama mazwazwa wa CCM wanavyomshobokea andunje Msigwa. Ganda la muwa la jana chungu kaona sega la asali.
 
Back
Top Bottom