Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Sasa hapo ime prove vipi wakati mkataba umeisha na mmembembeleza kwa ela ndogo akaikataa kafuata maslahi sehemu nyingine.
Kama Simba ingekuwa na matumizi naye isingeshindwa kumbakisha kwa dau lolote. Mazuri aliyotufanyia tunamshukuru,na kwa mabaya aliyotufanyia karma itaamua. Aende salama.
 
Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.

Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
Chama kiwango kimeshuka?
Hadi sasa hakuna kiungo bora zaidi ya Chama Tz.
 
Mpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣

Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.

Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
Kumbe simba ndo wamewauzia Yanga?? Kwahiyo yanga wamewapa kiasi gani simba?
 
Mimi kama shabiki wa Simba SC, nimefurahi huyu jamaa kuondoka tuanze maisha mapya.
20240625_140019.jpg
 
Sasa wale mashabiki waliokuwa wanatokwa na mishipa ya shingo kumpigia kelele kocha kuwa kila mechi lzm chama acheze dkk 90, watasemaje sasa hv
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua natafuta comment yako, na nisingekuona ningekuita hapa.

Haya lete manenoo sasa!! Unakumbuka ulisemajeee? Woiiiiiiih
Kwa hiyo hujaumia?
 
Chama anaenda kukushangaza utajiuliza huyu ndio yule alikua anachezea Simba au mwingine?
😁😁.kaka kivyovyote vile maisha lazma yaendelee.chama aliondoka akaenda berkane akarudi.
kuondoka ni jambo la kawaida maana hawezi kucheza milele simba.
Hata akitaka kucheza milele simba kuna kifo na uzee vingemzuia. Kikubwa hatudai hatumdai.
Na hatuwezi kuumia kuondoka kwa chama maana tunajua kila lenye mwanzo lina mwisho.aende salama
 
sasa kwani mpira ni uadui mpk mahasimu wa jadi wasichukuliane wachezaji...?? mbona kama fikra zako ni ndogo hivi mkuu ..? 😂
We fikra zako kubwa. Inatosha
 
Back
Top Bottom