Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Sijui nimimi pekee ndiyo sijafurahia, huu usajili hapana dah! Hizo hela tungetafuta mchezaji mzuri zaidi wa nje.
Eng hapo umefanya kuwakomoa paka wakubwa. Niseme wazi tu, mimi siyo shabiki wa Chama kama ilivyokuwa kwa kichaa midevu.
Kutokua shabiki wa chama haiondoi ukweli kua Chama ni mchezaji mzuri
 
Kumbe yale maneno " Kwa kikosi chetu huyo konokono atacheza wapi, Chama hafit kwenye mfumo wa Gamondi, hakuna mchezaji wa simba anayeweza kuingia kwenye kikosi cha yanga hii" mlikuwa mnajifariji tu, kiuhalisia hayakuwa kweli
 
msigwa mchungaj alisema akijiunga sisiyemu tuchome nyumba yake,
Rejea wizara ya Afya watanzania 4 kati ya hao mmoja ana tatizo la afya ya akili yaani hapo ulipo kama mko wanne mmoja wenu fuvu lake Iko shida, (barijo)
 
Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.

Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.

View attachment 3030257
Yanga bwana , utashangaa Chama wanaenda kumuweka bench Tu ilimradi ameshatoka Simba. Kama walivyofanya kwa Morrison .

Hii ndio ligi ya Bongo, Anyway Lets SEE
 
SIMBA badili msemaji wa KLABU , hapo hamna mtu
 
Mpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣

Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.

Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
Mkuu uwo mpira wa ulaya unao ufwatilia ni upi ambao mahasimu hawauziani wachezaji ..kwamba haujawai kuona mchezaji katoka Barcelona kaenda Madrid au katoka arsenal kaenda Man u au ac Milan kwenda inter ni ulaya ip unayo isema
 
Mpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣

Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.

Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
sasa kwani mpira ni uadui mpk mahasimu wa jadi wasichukuliane wachezaji...?? mbona kama fikra zako ni ndogo hivi mkuu ..? 😂
 
Back
Top Bottom