Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Mpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣

Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.

Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
 
Kulia kupokezana, hongereni watani kuendelea kutukeraa Kwa kumchukua Mwamba wetu wa Lusaka.

Baada ya miaka mingi ya kumsajiri mdomoni hatimaye Mwaka huu mmetimiza ndoto yenu.

Tukutane Kwa Mkapa 💪
 
Mpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣

Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.

Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.

Mara nyingi huwa ni baada ya mkataba kuisha ndo hili hutokea na ni moja ya mambo yanaoufanya mpira wetu ukue kwa kasi.

Sasa hivi kila mtu anasubiri kuona chama akiwa na jezi ya yanga na Simba bila Chama itakavyofanana.

Sifatilii mpira wa nje kama ninavyofatilia soka la Tanzania. Lina raha mno.
 
Back
Top Bottom