Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Chama kwenda yanga sio tatizo ni maswala ya mpira tatizo ni uongo wa mo.
Kabla ya kuanza mchakato wa uwekezeji ambao mpaka Sasa hahaukamilisha alieleza madikitiko yake kwa Simba kutoa wachezaji wake waziri na yeye kutahabanisha anataka Simba ishindane na magiant ya Afrika akizitaja timu zilizokuwa Bora kipindi hicho Al ahly na Mazembe.
Tangia mo aje Simba tayari wachezaji waliouzwa au kuondoka kwa sababu club umeshindwa kuwazuia ni Emanuel Okwi mwekezaji kudai anataka pesa nyingi, chama , Konde boy, Sackho, Bwalya na Inonga kuuza kwa nyakati tofauti. Ukiondoa Inonga ambaye walitangaza kapewa thank you mpaka ikathibitika kauzwa wachezaji wengine wote majuzi yao yalifichwa kiasi cha pesa walizouzwa.
Mpaka Simba watakapojitambua ndio timu yao itakuwa Bora, waanze mchakato mpya wa kupata wawekezaji wasiopungua watatu.
 
Tutafanyaje ila viongozi wetu ndio wameamua, sijajua huu usajili ni wakiufundi au kumkomoa mtani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua natafuta comment yako, na nisingekuona ningekuita hapa.

Haya lete manenoo sasa!! Unakumbuka ulisemajeee? Woiiiiiiih
 
Sijui nimimi pekee ndiyo sijafurahia, huu usajili hapana dah! Hizo hela tungetafuta mchezaji mzuri zaidi wa nje.
Eng hapo umefanya kuwakomoa paka wakubwa. Niseme wazi tu, mimi siyo shabiki wa Chama kama ilivyokuwa kwa kichaa midevu.
 
Tutafanyaje ila viongozi wetu ndio wameamua, sijajua huu usajili ni wakiufundi au kumkomoa mtani.
Ni kweli kaka, Wananchi hatukuwa na nia ya kumuona huyu jamaa kwenye timu yetu. Nafikiri ni kumkomoa mtani tu. Au pengine kuna star mmoja anaondoka pale Yanga, ila hata kama yupo anayeondoka, ndo tumchukue Chama?
 
Kila la kheri kwake Mwamba wa Lusaka ktk maisha yake mapya ya soka nje ya Simba!!
 
Sijui nimimi pekee ndiyo sijafurahia, huu usajili hapana dah! Hizo hela tungetafuta mchezaji mzuri zaidi wa nje.
Eng hapo umefanya kuwakomoa paka wakubwa. Niseme wazi tu, mimi siyo shabiki wa Chama kama ilivyokuwa kwa kichaa midevu.
Huo usajili hata mimi sijaufurahia hata kidogo ndio maana nikasema ni mkosi

Sipendi tabia ya kuchukua wachezaji wa Simba napenda newcomers kama Guede
 
Huo usajili hata mimi sijaufurahia hata kidogo ndio maana nikasema ni mkosi

Sipendi tabia ya kuchukua wachezaji wa Simba napenda new comers kama Guede
Eng sijui huwa anamkomesha nani pale msimbazi. Kwakuwa pesa ipo, anafanya kufuru tu.
Angeachana na hii biashara ya kubeba wachezaji wa madunduka. Tulete vipaji vipya, sijui Chama kama ana jipya la kuongeza kwenye timu.
 
Mpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣

Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.

Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
Hii inaonesha hata mpira wa nje hufuatilii,van persi alienda man toka arsenal,figo alitoka barce akaenda Madrid,kadhalika Ronaldo toka Barcelona to Madrid,cample toka spurs to arsenal
 
Back
Top Bottom