Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa sina tabia ya kubembeleza wachezaji. Kwenye timu yangu ya simba. Mchezaji akianza maringo tu mimi uwa nasema bora aondoke. Hata mo mwenyewe sasa hivi simkubali. Ameshazingua aliposema amepata hasara, nikaona huyu ni janja janja.mbona ukusema mapema mkuu?
Mnakula makombo. Anakwenda kukaa benchi na huo ndo ukweli. Keshachoka hyo veteranKweli wewe mjinga!
Morrison alikuwa mchezaji mzuri na wala hakua amechoka sema tu ana mambo mengi.Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.
Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
ChaiHatimaye wimbo wenu umetimia ila Chama hatoifunga Simba misimu yote atakayokuwa huko utopoloni
Mbona mlikuwa mnamngangania?Mnakula makombo. Anakwenda kukaa benchi na huo ndo ukweli. Keshachoka hyo veteran
Mboni Saido haikua hivyo anefunga magoli mengi na assist nyingi Simba na wamemuacha aendeMfano mzuri bwana mandevu Morrison
Ni ushamba tu wa viongozi. Ila kuna wakati unatakiwa ufanye maamuzi ya kiume.mwache aende rejea mbape na psg. Kuna maisha baada ya chama kuondoka. Nimefurahi sanaa na hii ni habari njema kwangu leo asubuhi. Mimi kwenye maisha yangu uwa spending maringo. Ndo maana hata inonga alipoanza kuzingua nikatamani aondoke. Maana atakuja kutusumbuaMbona mlikuwa mnamngangania?
Yanga ana mashindano mengi msimu ujao, anahitaji kikosi kipana.Usajili wa kuwakomoa Simba na kuwafurahisha mashabiki.
What you about to see you will experience your own eyes to be greatly appreciated for hitting your own insecurityViongozi wa simba mmefanya maamuzi ya kiume. Hauwezi kila siku kukaa tunamuimba mtu mmoja. Chamaaa chamaa. Brother simba ni kubwa kuliko chama. Walikuja wakaondoka na yeye kaja ataondoka simba itabakia. Safi sana kwa hilo.
Hatumpondi ila ndo ukweli huo. Chama maji ya jioni. Veteran fc. Mnatakiwa kwanza kuukubali huo ukweliNajua makolo watamponda sana chama kwa sasa na kumpa Kila aina ya shutuma na matusi lakini chama ataendelea kuwa ni chama yule yule, kitu ambacho mashabiki wa Simba awakijui ni kwamba Mchezaji anasajiliwa kwa malengo fulani,
Lengo la kwanza ni kuisaidia timu kufikia malengo yake aidha kubeba makombe ama kufikia hatua fulani kwenye mashindano husika,
Pili anasajiliwa mchezaji kwa malengo ya kibiashara ambapo unaweza kishangaa timu inamsajili mchezaji maarufu lakini uwezo wake ukiwa umeshuka iyo inakuwa kasajiliwa kwa malengo ya kibiashara, kukuza brand ya timu, kuuza jezi na kuwavutia mashabiki kujaa uwanjani,
Kwa maana iyo nataka kuwajibu wanaobeza usajili wa chama kwenda yanga watakuwa awauelewi mpira na strategy zake,
Usajili wa chama unakwenda kuiingizia yanga mapato ya kutosha kupitia mauzo ya jezi yake, mapato ya viingilio kwenye mechi na kuisaidia timu kufikia malengo yake, ndio maana kapewa mkataba wa mwaka mmoja ukiwa na kipengele Cha kuongezewa endapo atafanya vizuri,
Yanga sio wajinga wameangalia vitu ivyo vyote kwa mpigo na wameona watafaidika nae zaidi ndani ya msimu mmoja, Cristiano Ronaldo akusajiliwa kule uarabuni kwa sababu ya kiwango chake kuwa juu Bali alisajiliwa kule kwa sababu za kibiashara na klabu iliyomsajili ilifanikiwa katikati ilo,
Ivyo basi mashabiki wa Simba wanateswa na wivu tu Wala sio ubora wa chama!
SawaHatimaye wimbo wenu umetimia ila Chama hatoifunga Simba misimu yote atakayokuwa huko utopoloni
Uveterani utaonekana uwanjani ayo mengine ni maneno ya wakosaji AYANA maana yoyoteHatumpondi ila ndo ukweli huo. Chama maji ya jioni. Veteran fc. Mnatakiwa kwanza kuukubali huo ukweli
hana jipya tena huyu he is used to the extend ni kama msigwa tu kujiunga ccm akidhani chadema itakufa,yaani msimu ujao mnyama atakuwa wa moto sanaKlabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.
Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
View attachment 3030257
Comrade, acha kujipachika majukumu yasiyo kuhusu! Vipi ikatokea akaifunga?Hatimaye wimbo wenu umetimia ila Chama hatoifunga Simba misimu yote atakayokuwa huko utopoloni