Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Uwa nafurahi sana swahiba mikia wakiwa kwenye maumivu [emoji2]
Makapuku mna shida sana. Hampati maumivu ya kuongezewa tozo kimyakimya kwenye luku ila mnapata raha ya chama kuondoka simba. Ama kweli kapuku ni kapuku tu, na serikali, simba na yanga wanatumia ukapuku wenu wa hivi kuwapumbaza muendelee kua makapuku zaidi na wao waendelee kua matajiri zaidi. Na wewe nenda kaprinti picha ya chama uendee kuzunguka barabarani.
 
Bado hujasema yan mpaka useme,huku maumivu ya tozo kule maumivu ya chama
 
Bado hujasema yan mpaka useme,huku maumivu ya tozo kule maumivu ya chama
Mnajiona mlivyo makapuku, kwamba chama atawasahaulisha maumivu ya tozo? [emoji23] Kwamba chama anayelipwa milioni 50 kwa mwezi atakuwaza na kukulipia wewe kapuku tozo za serikali
 
Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.

Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
Kivip?.kwasababu mpira ni ajira kama zingine.Chama kacheza simba kamaliza mkataba boss mwingine amejitokeza kumpa kazi aache kufanya jazi kwasababu ya maneno ya watu.Ata kama mashabiki wa simba tumeumia tumuache chama afanye kazi yake na maisha yake kwasababu hatumdai chochote.
 
Viongozi wa simba mmefanya maamuzi ya kiume. Hauwezi kila siku kukaa tunamuimba mtu mmoja. Chamaaa chamaa. Brother simba ni kubwa kuliko chama. Walikuja wakaondoka na yeye kaja ataondoka simba itabakia. Safi sana kwa hilo.
Kwani mna ugomvi naye?.Mbona maneno ni mengi sana.Tulikua naye hatukumshawishi kuongeza mkataba kapata majani mabichi kwingine hatuna haja yakumuona hafai wakati alikua kwetu siku chache zilizopita.
 
Mchezaji gani kwenye timu anaperform kama ronaldo
 
Mnajiona mlivyo makapuku, kwamba chama atawasahaulisha maumivu ya tozo? [emoji23] Kwamba chama anayelipwa milioni 50 kwa mwezi atakuwaza na kukulipia wewe kapuku tozo za serikali
Tajiri unateseka ukiwa wapi?
 
Nyuma mwiko wanavyomshobokea Chama ni kama mazwazwa wa CCM wanavyomshobokea andunje Msigwa. Ganda la muwa la jana chungu kaona sega la asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…