Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Orlando ndo ilicheza fainali
 
mchezaji mwenyew ana tugoli tuwili misimu miwili
uto hamna akili

View attachment 2263245
Hahaha hii record ni very worst yani miaka miwili goli 2??

Nakuambie mpeni manula mechi 20 atafute goli mbili mtakuta katoka na goli 4 na assist kadhaa

Ndio maana hata Yanga wameona mmh huyu masai tukimpa contract ya kuanzia mwaka anaweza kutuachia shuka

Wamempa mkataba wa miezi 6

Mkataba wa mchezaji unakuwa na life span kama mkataba wa kupangisha fremu

Yani kiufupi hata ule mkataba wanaopeana bodaboda ni mzuri kuliko huu

Miaka miwili magoli mawili, huu ni uzembe wa namna gani, unajiita mshambuliaji lakini record zako ni kama golikipa

Kuchukua kombe kumewafanya watu wachanganyikiwe wamekosa hata mpangilio mzuri wa ku sort wachezaji, huyu wamemchagua kwa kigezo kipi au sijui kwasababu jina lake lilikua juu kwenye list?
 
Tunaamini Kambole Wa Zesco atarudi, Pia tunaamini Orlando wameshindwa kumtumia kama mlivyoshindwa kumtumia Morrison
 
ashoboke nani mmesajili dude
kwi kwi herai anawafanya atakavyoView attachment 2263259
Mshambuliaji miaka miwili kiwanjani una goli mbili (tena uskiute zote za penati)

Na yanga ilivyo na mbwembwe wamemtambulisha wakiwa wamemvika na kijora

Imagine hizo ni goli 2 lakini na kijora kavishwa

Ebu fikiria angekuwa na goli kumi tu hali ingeluwaje kwenye utambulisho wake?
 
Mchezaji aliyeachwa na Kaizer ana maajabu gani!!!????
 
Tunaamini Kambole Wa Zesco atarudi, Pia tunaamini Orlando wameshindwa kumtumia kama mlivyoshindwa kumtumia Morrison
Kambale hawezikuwa na maajabu yeyote, ameshindwa kuonesha imlact kwenye club yenye wachezaji wazuri wakumsaidia kufunga ndio aje huku uto?

Orlando wameshindwa kumtumia au yeye ndio ameshindwa kujitumja?

Man ebu kuwa serious two years kwenye club una goli 2, goli 2 kweli nawe ni mashambuliaji?

Hivi unafikiri kwanini wameamoa kimkataba chenhe deadline ya miezii 6 kama anapanga frem?

Yani kwa tafdiri fupi ni kwamba akipanga gheto leo hapo masaki miezi sita, asihangaike kuongeza mkataba aanze kufanya utaratibu wa kuangalia wapi atahifadhi asset zake
 
KAIZER CHIEFS ILICHEZA FAINALI PIA IKAFUNGWA NA AL AHLY akapigwa 3 mwaka 2020/2021 Champions league
Yeah nakumbuka hilo ila lengo la mimi kuandika kaizer nililenga ku refer mashindano ya CAF federation ambapo sikuwa sahihi kuitaja kaizer
 
Unasifia mpaka umepitiliza au unataka kumkopa?
Zile pass za upendo za Sureboy, Dr Aucho, Pass Master Feitoto, Farid Mussa, aisee Kambole atakuwa adui mkubwa wa magolikipa
 
Kama kocha ndio amemtaka mimi sina neno huenda ana plan naye nyingine, lakini kama amesajiliwa kwa kuwa straiker nadhani ni Ditram Nchimbi mpya huyu.

Ila ukweli utabaki timu za Tanzania hatuna uwezo wa kuvunja mikataba ya top players kwa kutegemea pesa binafsi za GSM na za Mo Dewji, tusiukimbie ukweli huu.

Ndio maana tutarukaruka lakini tukifanikiwa kufika robo fainali ndio utajuwa maana ya quality players na kusajiri ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…