Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Aisee mbona hilo balaa hatujaliona kwa Makambo mkuu
 
Ndio maana George Mpole ni kama vile watu hawamuoni, walishajifunza kwa Salamba na Ditram Nchimbi.
Awa washambuliaji wa kitanzania sio wa kusajiliwa na vilabu vikubwa vyenye matumaini ya kucheza michuano ya kimataifa, Ni wachezaji wasiokuwa na consistency ata kidogo, uyo george mpole anaeimbwa kussjiliwa na simba mpeni msimu mmoja tu unaofuata mtakuja kuniambia alikopotelea, Walikuwepo wakina marcel kaheza, adam salamba, krispin ngushi, abdulhamn mussa, charles ilamfya, walipotelea wapi? Ndio maana enzi za yusuph manji yanga ilisajili washambuliaji wote wa kigeni na walikuwa wanakiwasha hasa, Amis tambwe, donald ngoma, obrey chirwa walikuwa ni wa moto balaa
 
Kwahuyo sahau mkuu, mswahili ni mswahili tu. Binafsi nilivyoona kaletwa Yanga nilichukizwa na ujio wake na sioni namna ya kubadilika. Pengine hao matajili ndio wanapenda kusikia mambo ya namna hii.
Asipobadirika tutamnyoosha wenyewe.

Yanga siyo jukwaa la kutumika kueneza mipasho yenye maslahi yake binafsi na pride za kipumbavu.

Wapo wanaopenda ujinga wa Manara lakini ijurikane wazi wengine hatupendi upuuzi wake.

Imagine anavyojisifu Yanga kuchukuwa ubingwa anataka kutuaminisha yeye ni sehemu kubwa ya ubingwa wakati kila mtu anajuwa ni pesa za GSM ndio zimemleta yeye na Ubingwa.
 
Uwe na adabu kidogo, unapoitaja Yanga lazima uanze na maneno yafuatayo: bingwa wa ligi kuu ya Tanzania
 
Kipi kikusikitishacho rudia Mara tatu
 
Hana tofauti na Ditram Nchimbi.
 
Wachezaji wa aina hii ndio wanaosababisha maafa siku ya Derby ya Watani. Maana unamwona wa kawaida sana akikutungua unazimia! Refer Morrison majina aliyokuwa anaitwa aliposajiliwa Yanga, mara mwizi wa magari hajui mpira mara anajua kupanda mpira kucheza hajui. Kilichotokea baadaye sote tunajua, aliwapiga Simba goli la kikatili halafu baadaye akasimisha nchi na FIFA (through CAS). Zaidi alikuja kuwa ndiye mkombozi wa Simba inapofeli plan zote uwanjani iwe kwelnye ligi ya Bongo au mechi za CAF. Tumpe muda Bw. Kambole!
 
Halafu Kocha Nabi ndiye aliyemtaka huyo mchezaji. Ameulizwa kuhusu kutofunga akawajibu waandishi kuwa anafahamu na anajua atakavyomtengeneza ili arudi kwenye form. so, let us wait and see guys!
 
Chico Ushindi kwa mbaaaali nimeanza kumuelewa, itakuwa alikuwa majeruhi wa muda mrefu. Ana ball balance nzuri sana, mwili anao apunguze papara ambazo kwa mbaali nimeanza kuona akizinguza
Ngoja tumuone msimu huu.
 
Usajili kichaa huu,
Unaenda kumsajiri striker mwenye magoli 2 kwa miaka 2[emoji848]
 
Changamoto gani alizokutana nazo ashindwe kuzitatua ndani ya miaka miwili ?
 
Morison alikuwa anajulikana ndani na nje ya uwanja Na kilichomtoa sauzi sio kwamba aliflop ni mambo yake ya nje ya uwanja
Ila huyu Kulwa kikumba wenu ni flop goli 2 ndan two season
 

Attachments

  • 20220617_095225.jpg
    27.8 KB · Views: 7
Changamoto gani alizokutana nazo ashindwe kuzitatua ndani ya miaka miwili ?
Waliosajili ni yanga nafikiri ata kama wameuziwa mbuz kwrnye gunia wewe aikuusu, waliotoa pesa ni yanga, aliyempendekeza ni kocha wa yanga, anayemlipa mshahara ni yanga ivyo sioni huu mjadala kama una afya yoyote zaidi ya kupotezeana muda hapa, ukizingatia bado ajaonyesha huo ubovu wake kwenye ligi yetu, bahati nzuri mpira unachezwa hadharani kama ni mbovu ataonekana tu kwani shida nini, atuwezi kumuhukumu mtu kwa historia yake ya nyuma mpaka tujiridhishe kwa vitendo na sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…