ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Sawa bossKazi njema mkuu na asubuhi njema
Uhakika wa kucheza haupo kwenye simu ni performance mazoezini, Aziz Ki hatuna swali maana ameonekana ila sio yule Kamba ulaya msimu mzima goli 1 la dawaYes Simba na Yanga zipo hivyo,ila wachezaji wote wanaokuja Yanga this season wamewasiliana na Kocha,hata Azizi Ki aliongea na Kocha kumuhakikishia kucheza
Vipi Lukaku ndani ya Man U na yule aloenda Inter hadi Chelsea wakamuona tena baada ya kumkacha miaka mingi kabla hajaja kufeli tena? Huku Man U alionekana ameshindwa. Alipoenda Inter akawa balaa, Chelsea wakamnunua kutokana na moto aloonyesha Inter, na sasa inaonyesha kafeli tena na Inter wanamtaka tena[emoji3][emoji3]. Mpira hauko hivyo mchezaji anaweza akshindwa kutokana na mambo mengi ila akipata sehemu sahihi anaweza akarudisha makali yakeChangamoto gani alizokutana nazo ashindwe kuzitatua ndani ya miaka miwili ?
Moloko ana Work rate kubwa kuliko Chico[emoji3],hapo kila mmoja ana faida na udhaifu wake. Ukiniuliza naondoka na nani nabeba zangu Moloko tunasonga. So far Chico ni talented player!Chico ni mzuri kuliko Moloko
Kama chama na luiz wanavyosota benchAcha kelele huyo ni failure hapo, mchezaji mzuri hawezi kukaa benchi kila wakati hana msaada hapo kama Maguire
Aliongeza mawili..!!Ana 13 sio 15
Sasa hiyo ni probability,sisi tunaongelea kiwango chake cha sasa.Huyo jamaa naamini anakuja kufufuka! Na ni mshambuliaji mzuri sana. Angalia ktk hiyo misimu miwili alofunga goli 2 kwenye klabu, timu ya taifa kafunga ngapi?
Chama na Luiz wana magoli mengi , kuliko Kambale kwa miaka yake yote miwiliKama chama na luiz wanavyosota bench
Miquison usimfananishe na huyo kambale, kumbuka kuna miqusone ametokelezea mechi chache na sometimes amecheza kama bekiOrlando wana wachezaji wazuri kuliko Mamelody? Mbona Miqiussone alishindwa kufurukuta? Na kule Ahly mbona kashindwa kifurukuta ilihali anazungukwa na wachezaji wazuri tupu? Huku Simba si aliwika hadi Ahly wakamuona? Mpira hauko hivyo, na kumbuka hao wasauzi walimuona akiwa top player ktk ligi ya Zambia. Ila ukweli mwingine ni kwamba Orlando haina wachezaji wazuri hiiivyooo kama unavyosema,kwenye ligi ni Wa ngapi? Tumewaona pia walipocheza na Simba mechi zote,hawana kutisha wala maajabu. Kiufundi hawana tofauti sana na hizi timu zetu tatu hapa bongo yani Yanga,Simba,Azam.
Luiz amefunga goli ngapi pale al ahly msimu mzima?Chama na Luiz wana magoli mengi , kuliko Kambale kwa miaka yake yote miwili
Mpaka sasa Luiz ana goli 3 pale Al Ahly na msimu bado unaendelea, yule Kambale misimu 2 ana goli 2 halafu kelele kibao, yaani ndani ya nusu msimu Luiz amelipa kazi ya Kambale alio fanya kwa miaka 2 na bao 1 la bonusLuiz amefunga goli ngapi pale al ahly msimu mzima?
Ulitaka alipe Mo iyo mishahara?Sema hivi wanaosajili ni gsm na wanaolipa mshahara ni gsm
Uto hamna pesa za kusajili chupli chupli sana
Analipa hersiUlitaka alipe Mo iyo mishahara?
Hoja yako haina mantiki kabisa tunazungumzia mazingira ya afrika isitoshe sauzi viwanje vyake ni bora kuliko zambiaVipi Lukaku ndani ya Man U na yule aloenda Inter hadi Chelsea wakamuona tena baada ya kumkacha miaka mingi kabla hajaja kufeli tena? Huku Man U alionekana ameshindwa. Alipoenda Inter akawa balaa, Chelsea wakamnunua kutokana na moto aloonyesha Inter, na sasa inaonyesha kafeli tena na Inter wanamtaka tena[emoji3][emoji3]. Mpira hauko hivyo mchezaji anaweza akshindwa kutokana na mambo mengi ila akipata sehemu sahihi anaweza akarudisha makali yake
wakati sisi tuna sajili nyie mmekalia majungu baadae vianze vilio vya GMS ananunua mechiYaani mumsajili kulwa kikumba halafu tusikitike π
vipi chuki zako kuhusu Mayele zina endelea au umekata tamaaKwa kambale hapana mzee hii ni record moja mbovu sana
Miquioson alitia kamba mbili kwenye mechi moja tena mechi ambayo ilikuwa ngumu lakini kambale alihitaji miaka miwili kufikisha idadi hiyo
Hii striker tishio ndio hatutaki huu uongo, haiwezekani striker tishio msimu mzima goli 1, labda mseme tishio wa sura