Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Yes Simba na Yanga zipo hivyo,ila wachezaji wote wanaokuja Yanga this season wamewasiliana na Kocha,hata Azizi Ki aliongea na Kocha kumuhakikishia kucheza
Uhakika wa kucheza haupo kwenye simu ni performance mazoezini, Aziz Ki hatuna swali maana ameonekana ila sio yule Kamba ulaya msimu mzima goli 1 la dawa
 
Changamoto gani alizokutana nazo ashindwe kuzitatua ndani ya miaka miwili ?
Vipi Lukaku ndani ya Man U na yule aloenda Inter hadi Chelsea wakamuona tena baada ya kumkacha miaka mingi kabla hajaja kufeli tena? Huku Man U alionekana ameshindwa. Alipoenda Inter akawa balaa, Chelsea wakamnunua kutokana na moto aloonyesha Inter, na sasa inaonyesha kafeli tena na Inter wanamtaka tena[emoji3][emoji3]. Mpira hauko hivyo mchezaji anaweza akshindwa kutokana na mambo mengi ila akipata sehemu sahihi anaweza akarudisha makali yake
 
Huyo jamaa naamini anakuja kufufuka! Na ni mshambuliaji mzuri sana. Angalia ktk hiyo misimu miwili alofunga goli 2 kwenye klabu, timu ya taifa kafunga ngapi?
Sasa hiyo ni probability,sisi tunaongelea kiwango chake cha sasa.


Lakini pia swala la kusema "anakuja kufufuka" linathibitisha kuwa kwasasa ni kiazi, hivyo tusubiri msimu ujao tuone.
 
Orlando wana wachezaji wazuri kuliko Mamelody? Mbona Miqiussone alishindwa kufurukuta? Na kule Ahly mbona kashindwa kifurukuta ilihali anazungukwa na wachezaji wazuri tupu? Huku Simba si aliwika hadi Ahly wakamuona? Mpira hauko hivyo, na kumbuka hao wasauzi walimuona akiwa top player ktk ligi ya Zambia. Ila ukweli mwingine ni kwamba Orlando haina wachezaji wazuri hiiivyooo kama unavyosema,kwenye ligi ni Wa ngapi? Tumewaona pia walipocheza na Simba mechi zote,hawana kutisha wala maajabu. Kiufundi hawana tofauti sana na hizi timu zetu tatu hapa bongo yani Yanga,Simba,Azam.
Miquison usimfananishe na huyo kambale, kumbuka kuna miqusone ametokelezea mechi chache na sometimes amecheza kama beki

Lakini pamoja na hayo alitupia goli mbili kwenye mechi moja, goli mbili ambazo kambale alihitaji miaka miwili kufanikisha

Hata wewe mwenyewe unakubali thamani ya miqsone ni kubwa kuliko kambale
 
Vipi Lukaku ndani ya Man U na yule aloenda Inter hadi Chelsea wakamuona tena baada ya kumkacha miaka mingi kabla hajaja kufeli tena? Huku Man U alionekana ameshindwa. Alipoenda Inter akawa balaa, Chelsea wakamnunua kutokana na moto aloonyesha Inter, na sasa inaonyesha kafeli tena na Inter wanamtaka tena[emoji3][emoji3]. Mpira hauko hivyo mchezaji anaweza akshindwa kutokana na mambo mengi ila akipata sehemu sahihi anaweza akarudisha makali yake
Hoja yako haina mantiki kabisa tunazungumzia mazingira ya afrika isitoshe sauzi viwanje vyake ni bora kuliko zambia
 
Mpira wa Africa Mara nyingi ukisajili kwa record ya mchezaji,unauziwa mbuzi kwenye Gunia

Michael Sarpong-alikuwa top goal scorer pale Rwanda alipokuja Yanga ikawa ni kituko

Juma Balinya-Alikuwa top goal scorer pale Uganda,unfortunately alipofika Yanga ikawa ni same case

Laudit Mavugo-alikuwa top goal scorer pale Burundi ila alipokuja simba akawa ni flop of the season

Dan Serenkuma-Alikuwa top goal scorer kule Uganda alipofika simba,hbr ikawa ni ile ile

Wachezaji wengi waliofanya vzr kwenye timu zetu ni wale waliotoka from nowhere nikiwa na maana ya record zao walipotoka

Luis Josee nani ana rekodi zake alipokuwa pale sundowns?

Nani ana rekodi za Mwana mfalme Dube alipokuwa supersport united?

Nani ana rekodi za Donald Ngoma alipokuwa FC Platnum

Nani alikuwa na rekodi za kutisha za Amisi Tambwe alipokuwa vital'O

Tuwe na hifadhi ya maneno ktk hizi sajili zetu ili badae tusije kuanza kung'ata ndimi zetu
 
Wachezaji waliofeli Afrika kusini 🇿🇦

Prince Mpumelelo Dube 🇿🇼
🇿🇦 Super sports United
📅 2017 / 18 - Msimu
⚽ 00 - Magoli
.__________________________________

Bernard Morrison 🇬🇭
🇿🇦 Orlando Pirates.
📅 2016 / 2018 - Misimu
⚽ 02 - Magoli
___________________________________

Luis Miquissone 🇲🇿
🇿🇦 Mamelodi Sundowns
📅 2018 / 2020 - Misimu
⚽ 00 - Magoli
___________________________________

Jean-Mark Makusu Mundele🇨🇩
🇿🇦 Orlando Pirates
📅 2018 / 2020 - Misimu
⚽ 02 - Magoli
__________________________________

Lazarous Kambole 🇿🇲
🇿🇦 Kaizer chiefs
📅 2019 - 2022 - Misimu
⚽ 02 - Magoli
________________________________

Justin Shonga 🇿🇲
🇿🇦 Tshakhuma Tsha Madvzivhandila
📅 2018 - 2019 - Msimu
⚽ 00 - Magoli

🇿🇦 Capetown city
📅 2020 - 2021 - Msimu
⚽ 04 - Magoli

📅 2021 - 2022 - Msimu
🇿🇦 Sekhukhune United
⚽ 01 - Magoli
________________________________
.
.
Hao wote walikuwa baddest 🔥 kwenye ligi walizotoka kabla ya kwenda South Africa 🇿🇦

Nurkovic 🇷🇸 msimu huu !
🇿🇦 Kaizer chiefs
👕 15 - Michezo
⚽ 01 - Magoli

NB ; Wekeni akiba ya maneno.
 
South Africa ni kati ya nchi ambazo zinaua viwango vya wachezaji wengi wa kigeni kutokana na lifestyle ya nchi hiyo
•Drug addiction
•Luxury life

Pia watu wa south Africa in general huwa na wivu mkubwa wa kimaendeleo iwe ktk soka,biashara au Nazi yeyote ile.......kwahyo wachezaji wa kigeni hukumbana na changomoto nyingi sana

Mrisho Khalfan Ngassa alitoka hapa kwenda south Africa akiwa wa moto sana
 
Kwa kambale hapana mzee hii ni record moja mbovu sana

Miquioson alitia kamba mbili kwenye mechi moja tena mechi ambayo ilikuwa ngumu lakini kambale alihitaji miaka miwili kufikisha idadi hiyo
vipi chuki zako kuhusu Mayele zina endelea au umekata tamaa
 
Hii striker tishio ndio hatutaki huu uongo, haiwezekani striker tishio msimu mzima goli 1, labda mseme tishio wa sura
FB_IMG_1654260008575.jpg
 
Back
Top Bottom