Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
habari zenu.
Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga wanyimwe goli la wazi??
Kumekuwa na mjadala mkubwa kwa wachambuzi duniani kuhusu goli la azizi ki.
Hii Inapelekea club ya yanga kujulikana ulimwenguni kote,ni club ya aina gani iliyotoka droo na most declarative club in africa,mamelody sun downs
Wachambuzi kote wanasema yanga itakuja kuwa club tishio Africa itakayo ogopeka na club zote Africa.
Faida watakayopata yanga siku zijazo wachezaji wanzuri mbalimbali watataka kuchezea moja ya club bora Africa mashariki na kati,wawekezaji watakuja kama maji kuwekekeza kwenye yanga maana ngazi na hatua ya mafanikio zinaonekana yanga.
Kunyimwa ubingwa wa shirikisho na kutapeliwa goli lako la wazi na kushindwa kuvuka kwenda nusu final kwa sababu ya refa na wasimamizi wa VAR.
Umaarafu anaopata azizi ki utamfanya agombaniwe na kila club kubwa africa na duniani,kazi iliyobaki kwa yanga kumzuia asiondoke maana hakuna jinsi yanga watampoteza tu azizi ki.
Klichotokea juzi kitasababisha CAF kuleta goal line technology,basi yanga itakuwa timu iliyosababisha ujio wa hiyo technology mpya Africa.
Na kama barua ya yanga waliotuma CAF itajibiwa vyema itasababisha contriverce baina ya CAF NA wanachama wake basi kutakuwa hakuna tena imani juu ya uongozi uliyepo CAF.
YANGA inazungumziwa na kufuatiliwa sana sasa duniani kote itafanya kuwa club namba moja AFRICA maarufu sana,basi itafanya yanga kuingiza alot of money through social networks
Naiona yanga ikifanya makubwa AFRICA sipo hapa kama mnazi Bali ukweli wacha usemwe wazi yanga kila inaposhiriki michuano hii ya CAF inajifunza kila kukicha ogopa timu ya dizaini ya kujifunza,maana hawataki kuwa kama wale mwaka robo fc wanamleta mayele kwenye siku yao ya mechi ya maamuz,ili wakifungwa story ibaki mayele anakuja makolo fc mpaka hapo unaona hawana viongozi wenye kutumia akili na yule msemaji wao anajirikodi akifurahia yanga kutolea robo final wakati mda huo huo timu yake ipo kwenye kibarua kikubwa cha kuhakikishia wanafuzu.
Yanga yanga yanga daima mbele